Ndugu wana jf,
Nilipangiwa kazi wilaya mpya ya Kakonko shule ya sekondari Kanyonza ambapo wazazi wenye wanafunzi wa kidato cha nne na uongozi wao walikuja shuleni na soda na maji,tulifanya kikao nao huku wakiomba tuwaambie watufanyie nini ili tuhakikishe wanao wanafaulu mtihani hata kupata...
ww ni mbumbu wa kisheria,sababu hizo hazina mashiko mfano mabalozi kuwatunzia wapiga kura ni kinyume cha sheria what i see hao mabalozi walikuwa wananunua shahada za watu mlidhani mtasalimika,kusimama umbali wa m100 ni sheria ndivyo inavyotaka,mnataka waende nyumbani ili iweje?usitake...
Wewe ni mpuuzi,sasa wanapata ruzuku kwa vile wameshinda?madiwani na wabunge wa cdm watakuwa wa kumwaga ruzuku watakosaje,subiri mwaka kesho tunachukua mitaa na vijiji vya kumwaga,msomi wa standadization ww ndo maana mrahisi wa kutumika.
Acha ujinga kumbuka kuna mwana jf moja aliandika taarifa za kikao cha watu 8 akiwemo mwigulu na mipango ya miovu mods wakaondoa ile thread,cdm si wapuuzi kutofanyia kazi ile taarifa tatizo lenu huwa mnalewa
Haki ya mungu ww ni kilaza na propaganda zenu zitawazidishia chuki na wananchi japo mnalipwa bk7 badilisheni style,mnafikiri kwa masaburi na mnaserukambwa.id yako ina sadifu tabia zako. shame on you
Ww unalipwa buku saba kudefend lichama lililooza tena umesoma kwa kodi za wtz huku ukiendelea kuwasaliti ole wenu siku mkitokea live mikononi mwa wtz tutawanyonyoa.shame on you.
Kanda ya pwani itakuwa ina nguvu sana bt this time tuwe makini na wanasiasa wa tumbo kwani kwa hapo dar ni wengi sana.MUNGU IBARIKI CDM MUNGU IBARIKI TZ
Wataanza na jf nini maana humu tunairarua sana sirikali ya mr weak,walitufungia mwanahalisi,serikali dhalimu mara nyingi hutoa haki mkono huu na kuipokonya na mkono mwingine.
Hv ile bifu ya tajiri wa clouds na sugu imeishia wapi juu ya kujimilikishia THT wakati mpunga ule ulitolewa na rais kwa vijana wa kitanzania,alafu kuna mtangazaji wao kama mc wa ccm vile na mahaba yake ya magambaz inside the house.radio ya wafu kama magamba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.