Afisa polisi amdunda hakimu wilaya

Afisa polisi amdunda hakimu wilaya

..........hapo sheria lazima ichukue mkondo wake... la sivyo tabia chafu kama hiyo itaendelea... watu watakuwa hawaheshimiani... hakuna mkubwa..... lakni kwa ushahidi huo polisi kakosea .. kuchukua shera mkononi.... kupgana hadharan.... tena ndan ya ofisi ya hakimu...... ni dharau kubwa sana .... yaani wote ni kama kambare wanamasharubu........
 
sometimes mahakimu wanakera,
Kuna kipindi nilikamata mwizi na jamaa akamuachia hivi hivi
Wacha adundwe

Kama wewe ni Police basi ndio usiongee mnafanya madudu mengi sana.Hapo kilichotokea ni police kufanya kikazi kimoja kikaenda mahakamani ili uonekane unafanya kazi,basi unataka matakwa yako yatimie.Ule ni mhimili unaojitegemea.na kama haki haikutendeka si mgefuata taratibu ambazo huwa mnatukataza za kutochukua sheria mkononi?Huku ni kukosa uadilifu kwa hali ya juu.Huyu askari inabidi apewe adhabu kali sana kukomesha hii tabia.vinginevyo wengine wataanza kuiga.
 
Hapo Hakimu kama kweli alipigwa basi alijitakia kwa sababu huwezi kumwambia mkuu wa upelelezi ambaye ndiye huandikia majalada kuja mahakamani kuwa hamtambui ila mwendesha mashtaka aliyechini ya Mkuu wa upelelezi, hapo kuna ukweli kuwa mrungura ulitembea na huenda alikula na mwendesha mashtaka, hata hayo majibu aliyotoa yanatosha kuonyesha jeuri, kipigo alistahili kwa sababu mahakimu wengi wanaharibu kesi baada ya kupokea rushwa

Kwani mahakamani anatambulika nani kati ya mkuu wa upelelezi na mwendesha mashtaka?Na ni sheria gani inaruhusu hakimu apigwe?Je sisi wananchi tunapozuiliwa kuchukua sheria mkononi,hizo sheria ni kwa ajili ya nani?Uache kushabikia upuuzi.
 
Kwani mhalifu sheria inaruhusu kuporomoshewa kipigo? Nadhani hiyo ni kupishana kimaslahi ya rushwa
 
Habari bandugu,

ajarushwa ngumi isipokuwa hakimu ndo alitaka kumrushia ngumi...ndpo aripoamua Oc cid kurud nyuma kukwepa ugomvi,...magazet yanadanganya

Huu ni utetezi wa kijinga.Alienda kutafuta nini pale mahakamani wakati yeye si mwendesha mashtaka?
 
vyovyote vile huyu jamaa lazima achukuliwe hatua hata kama sijui sheria hapa mtuhumiwa ana hoja za kujibu.
hivi anaelewa kazi za hakimu vizuri?,anaelewa mazingira ya kufanya fujo kwenye eneo la ofisi ya mtu? lakini anaelewa wajibu wake? achilia mbali anaijua nafasi yake na hakimu ikiwa yeye ni kibarua wa mhimili wa serikali kwa mbali wakati mwingine anafanya kazi kwenye mwimili moja kwa moja.
achilia mbali hakimu ni mwanashria hata kama si wakili lakin wadau anao wa kutosha
sitegemei wanasheria watakaa kimya na kuaibishwa hata kama tukio ni la rushwa lazima tupate majibu ya maana na lazima polisi ashindwe hata iweje. hawezi kushinda ngumi na sheria pia.
 
Hapo Hakimu kama kweli alipigwa basi alijitakia kwa sababu huwezi kumwambia mkuu wa upelelezi ambaye ndiye huandikia majalada kuja mahakamani kuwa hamtambui ila mwendesha mashtaka aliyechini ya Mkuu wa upelelezi, hapo kuna ukweli kuwa mrungura ulitembea na huenda alikula na mwendesha mashtaka, hata hayo majibu aliyotoa yanatosha kuonyesha jeuri, kipigo alistahili kwa sababu mahakimu wengi wanaharibu kesi baada ya kupokea rushwa

Ww akili huna kabisa,utaratibu wa mahakama unamtambua pp sio mkuu wa upelelezi,pole sana hakimu.
 
Kwa yule mwalimu aliyepigwa na dc...ile ilikuwa sawa...jamaa haingii darasani anafanya biashara zake..piga....
 
Mwigulu Nchemba anayo video ikionesha viongozi wa juu wa CHADEMA wakipanga njama na askari ili akampige hakimu...wasingizie nini tena!!!
 
Mwigulu Nchemba anayo video ikionesha viongozi wa juu wa CHADEMA wakipanga njama na askari ili akampige hakimu...wasingizie nini tena!!!
 
Naona wewe ni mbumbu maana hujui taratibu za mahakama na polisi, naomba kukujuza kuwa jalada lolote linalopelekwa mahakamani lazima liandikiwe na Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya au Mkoa, na kama Hao hawapo basi huandikiwa na mtu mwingine kwa niaba yao, huwezi sema mahakama haimujui Mkuu wa upelelezi, kwani ndiyo kiungo chao muhimu katika kesi zo zote na anawajibu wa kujua mwenendo wa kila kesi inayopelekwa mahakama,
Ww akili huna kabisa,utaratibu wa mahakama unamtambua pp sio mkuu wa upelelezi,pole sana hakimu.
 
Kwani mahakamani anatambulika nani kati ya mkuu wa upelelezi na mwendesha mashtaka?Na ni sheria gani inaruhusu hakimu apigwe?Je sisi wananchi tunapozuiliwa kuchukua sheria mkononi,hizo sheria ni kwa ajili ya nani?Uache kushabikia upuuzi.
Chei Chei Shangazi, ni wimbo unaonikumbusha enzi hizo za RTD, naomba ujue kuwa polisi na mahakama ni mihimili miwili inayotegemezana, na ukisema nani anatambulika mahakamani ni katika nini hapo, Mahakama inawatambua wote OC CID NA PP, kwa sababu wote hao ni polisi, isipokuwa kwa sasa baadhi ya Mikoa tayari kazi ya U PP iko chini ya ofisi ya mwana sheria mkuu wa Serikali,
 
acha kupotosha Uma ww. kifupi mwendesha mashtaka hata awe Raisi hawezi toa amri kwa mahakama, unless kwa hakimu asie na msimamo/asiejua nafasi yake kama hakimu. Zaidi OC CID, OCD , RPC na yeyote yule katika jeshi la polisi hatambuliki kisheria kwa Judicial system ya TZ na hana nafasi katika uendeshaji kwa kuzingatia cheo chake. Angalia katiba na sheria zinazoanzisha mahakama, na ujifunze kuzungumza kitu unachokijua sio uropoke tu.
 
Anastahili kupigwa huyo na lazima atakuwa kapokea rushwa.Eti hamjui mkuu wa upelelezi
 
acha kupotosha Uma ww. kifupi mwendesha mashtaka hata awe Raisi hawezi toa amri kwa mahakama, unless kwa hakimu asie na msimamo/asiejua nafasi yake kama hakimu. Zaidi OC CID, OCD , RPC na yeyote yule katika jeshi la polisi hatambuliki kisheria kwa Judicial system ya TZ na hana nafasi katika uendeshaji kwa kuzingatia cheo chake. Angalia katiba na sheria zinazoanzisha mahakama, na ujifunze kuzungumza kitu unachokijua sio uropoke tu.
Naona kaka umekurupuka haswa , soma nilichoandika harafu angalia ulichoandika kama kina husiana au la, kwanza kabisa nakusahihisha juu ya mwandesha mashtaka hutoa amri kwa mahakama kumuona mshatakiwa anakosa na apewe adhabu kali, mwendesha mashtaka ndiye huiambia mahakama kama kuna ushahidi katika kesi husika au, ndio maana mwendesha anaweza kuiamuru mahakama kufuta kesi, Mfano hai ni juzi tu Kesi ya Rwakatare Mwendesha mashtaka aliiamuru mahakama kufuta kesi dhidi ya Rwakatare, Mwisho Hakimu mwenyewe alisema anamjua Mwendesha mashtaka na sio OC CID, kwa Kifupi Mwendesha mashtaka anatambulika na mahakama, awe polisi au raia mahakama inamtambua, kama Hujaridhika karibu kwa maswali na maoni, soma CPA
 
Back
Top Bottom