Naona nahuyu malaya wake ana ka inferiority complex. Badala ya kuzungumzia majeneza wana kudis. Naomba we jama namwezio mniachia ka rubii. Alaf huyu mbona hiyo sura yake rubii. Ukute malaya wako alikuonyesha sura ya mtu mwingini. Fara wewe. Kama biashara mbaya ya majaneza usipunguzie stress zako...
Mi mwenyewe niko hiyo sector ila hakuna kitu napenda kama kazi yangu. Alaf haswa mwanamke mjamzito maana wengi wanakuja kutaka kutoa mimba kwangu mwanamke mjamzito nishuja na namhudumia vizuri kwa maneno matamu
Asante ila sio kwamba namzarau mtu hapana. Mfano namweshim sana mama yangu mme wangu watoto wangu, nawatu wenginne. Nasiokwamba nawachukia lashaha ila upendo kutoka mwoyini sina.
Ila ninachojua kila mwaka Zambia kufanya Shere cku hiyo ni siku ya utamaduni na nasana, wanalika wasaani mbali mbali. Kama mwaka jana walimwalika Alberto Yule jama aiyeimba wimbo wa Amarura. Don't over exargerate you guys. He is good but be sincere on some issues. Alialikwa na sio kwamba ni show...
Biashara ambao unapaswa kuwepo 24/7 ni mgahawa salooni yakike.Nilishawahi kuwa na mgahawa mabibo ila chakwanza lazima usimamie angalau ujue mzunguko unaenda je. Maana kadri unavyo zidi kuka kwenye hizo mbili ndo unapozidi kupata uzowef. Isitoshe una wa mold wafanyakazi maana huenda wenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.