Diamond ajaza nyomi la watu Zambia

Ila ninachojua kila mwaka Zambia kufanya Shere cku hiyo ni siku ya utamaduni na nasana, wanalika wasaani mbali mbali. Kama mwaka jana walimwalika Alberto Yule jama aiyeimba wimbo wa Amarura. Don't over exargerate you guys. He is good but be sincere on some issues. Alialikwa na sio kwamba ni show yake mwenyewe
 
Mifano ipo mingi sana domo kapiga one man show na akajaza uwanja Rwanda alijaza uwanja wa mpira amahoro, juzi kati Oman kajaza uwanja, yaani mifano mingi tu....

Domo hafanyi tena show za kwny birthday na club kama mwafulani
tunazungumzia Zambia....

Kwanini udanganye watu we msukule wa Madale.
 
Daaaaa wabongoooo kwa wivuuuu.....basi mtutajie hata local artist walio kuwepo paleee tuoneee......nyiee video zile anazo post diamond watu walimfuata yeye kwenye sound check tuuu wapo wengiii kwenye show ndio wanaimba nyimbo zake balaaaaaa

Sasa zambia Local artist walio kuwepo ni wapi????? Zambia ina wasanii wakuja uwanjaaaa kweli????? Mm namfahamu robert ambae hawezi jaza uwanja
 
Mungu akishaweka ticky wewe ni wa kupata basi hakuna mwanadamu atakayeweza kubadili matakwa ya Muumba wetu. Watasema sana mchana usiku watalala. DP hayuko perfect kama binadamu wengine wote lakini anajituma sana na kama wewe ni mpenda maendeleo ya walala hoi basi ni lazima uyafurahie maendeleo ya huyu hasa ukitilia maanani alikotoka kama mlala hoi.
Nakubaliana na wewe kabisa.

Mie siku mpenda kabisa huyu jamaa hapo mwanzo....lakini kuna siku kwa mara ya kwanza aliperfom lindi kwy mashindano ya u miss. ...kweli alifanya vizuri sana ktk kujitumia na toka siku ile nikaanza kumfuatilia.

Naamini mafanikio yake yanatokana na kujituma kwake hivyo anastahili kabisa.
 
mn

MNAJARIBU KUZUIA MAFURIKO KWA MKONO SIYO

hilo tamasha mondi amepewa masaa mangap mpaka apige nyimbo zoteee

Jee hao wazambia masaa yote wanaimba hizo nyimbo za mondi tu na kuzijua zote,maaana video hazidanganyi,kila kitu kiko wazi,wazambia wanapiga kiswahili tu
Tueleze pia,hao wasanii wengine walipewa sekunde ngapingapiii?

Mleta uzi hakutuma video mmepata cha kuongea,sasa nenda kachek video nafikiri pressure itapanda na mwisho wa siku utakana kua si kama tamasha la fiesta ya zambia kwa wingi ule,bali utajifariji kua wameedit kama kawaida ya team kiba kujifariji kwa kutumia ujinga.

BY THE WAY,TUPO NA SHOW ME KILA MTAA INAGONGWA TU

kiwanda ya music ya WCB ni noma sanaaa,unaweza shinda waskiza nyimbo zao tu zilivyo tamu.

ENDELEENI KUSUBIR AJE REMIX PARTY4

Tatizo lako akili yako inawaza Diamond na Kiba kwa kua wamewafundisha kuvaa suruali za kubana au pengine umri wako pia hawa watoto ndio wamekufanya upende muziki sasa nakushauri kajifunze kuhusu hilo tamasha jaribu ku-google attendence ya mwaka jana wakati wamelikwa Casper na Roberto ilikuaje na mwaka huu ilikuaje utajua hilo tamasha sio la mtu au msaani mmoja ndio maana nimesema hata angeenda Kingwendu asingepunguza wala kuongeza idadi ya watu kwa kua wizara yenyewe wanasimamia kuvuta watu kwenye utamaduni wao duh watoto wa siku hizi hata nguo za ndani mtakua mnavaa kuwafuata hao wanaongoza timu zenu Diamond na Kiba maana mtu akitoa maoni tu fast mnawahi uyu atakua timu flani kwa kifupi hao kuku wenu wawili wamenikuta naupenda muziki hata kabla hawajaruhusiwa na mama zao kuimba.
Rudi kwenye comment yangu ya mwanzo nionyeshe nilipomtaja uyu kaka yenu Kiba maana ishu ya Diamond sijui Kiba ameingiaje,itakua ni KICHAA 1st class siku Baraka the Prince ajisifie alijaza uwanja wa Nangwanda Sijaona wa Mtwara kwenye tamasha la Fiesta wakati waliotumbuiza walikua wengi wapo walioenda kumuona Blue na wengineo,narudia tena Diamond kwenye tamasha la MosiOfThunder hakua kwenye ratiba amepata zali baada ya yule mtoto Tekno kuthibitisha hatokwenda na hata angeenda Tekno tungekataa kama angetuambia kajaza ule uwanja wa golf maana kwenda au kutokwenda kwa Tekno hakujabali idadi ya wahudhuriaji duh walimu wana kazi kweli uko mashuleni FYI hiyo show nimeiona yote.
 
Umeongea ukweli, tatizo la wabongo ni kukariri tu. Mtu akisha kariri kitu hata umpe ukweli lazima atakubishia kwa kuwa kaamini ya kukariri na hataki kutoka nje ya boksi kujuwa ukweli, yeye atataka na atalazimisha hata na wenziwe wakubali ujinga wa kuambiwa, kusoma kwenyewe hawasomi.
 
Tatizo lako akili yako inawaza Diamond na Kiba kwa kua wamewafundisha kuvaa suruali za kubana au pengine umri wako pia hawa watoto ndio wamekufanya upende muziki sasa nakushauri kajifunze kuhusu hilo tamasha jaribu ku-google attendence ya mwaka jana wakati wamelikwa Casper na Roberto ilikuaje na mwaka huu ilikuaje utajua hilo tamasha sio la mtu au msaani mmoja ndio maana nimesema hata angeenda Kingwendu asingepunguza wala kuongeza idadi ya watu kwa kua wizara yenyewe wanasimamia kuvuta watu kwenye utamaduni wao duh watoto wa siku hizi hata nguo za ndani mtakua mnavaa kuwafuata hao wanaongoza timu zenu Diamond na Kiba maana mtu akitoa maoni tu fast mnawahi uyu atakua timu flani kwa kifupi hao kuku wenu wawili wamenikuta naupenda muziki hata kabla hawajaruhusiwa na mama zao kuimba.
Rudi kwenye comment yangu ya mwanzo nionyeshe nilipomtaja uyu kaka yenu Kiba maana ishu ya Diamond sijui Kiba ameingiaje,itakua ni KICHAA 1st class siku Baraka the Prince ajisifie alijaza uwanja wa Nangwanda Sijaona wa Mtwara kwenye tamasha la Fiesta wakati waliotumbuiza walikua wengi wapo walioenda kumuona Blue na wengineo,narudia tena Diamond kwenye tamasha la MosiOfThunder hakua kwenye ratiba amepata zali baada ya yule mtoto Tekno kuthibitisha hatokwenda na hata angeenda Tekno tungekataa kama angetuambia kajaza ule uwanja wa golf maana kwenda au kutokwenda kwa Tekno hakujabali idadi ya wahudhuriaji duh walimu wana kazi kweli uko mashuleni FYI hiyo show nimeiona yote.
Unajitekenya alafu unacheka mwenyewe.......
 
Kama walikuwa wanauwezo wa kujaza uwanja bila diamond walimualika wa nini kupoteza zaidi ya milioni 100 za bure? are you serious?
Wanatanzia tunapenda mafanikio lakini tunachukia waliofanikiwa
Mkuu nyingine hii hapa itafanyika DRC CONGO akijaza tena uwanja huko mtasema Tekno hakwenda
1505631585713877950.jpg

MosiOfThunder kama ambavyo wenyewe wa Zambia wanapenda kuliita hili tamasha ni kati ya matamasha makubwa Zambia na linafanyika kila mwaka chini ya wizara ya Utamaduni na kampuni ya Bewaries yaani kama inavyokua Fiesta huku kwetu na wana utaratibu wa kualika wasanii toka nje ya Zambia na safari hii ilikua atumbuize Tekno ila akashindwa kwenda dakika za mwisho ndio kijana wetu Diamonda akapata nafasi ya kwenda kama mbadala wa Tekno.
Tuache uwasilishaji mbovu wa habari ni aibu kama Tekno alivyokuja Fiesta Dar alafu akatangaze aliujaza uwanja wa Leaders wakati kulikua na timu kubwa ya wasanii wetu ambao wamewavuta hao watu hii ni sawa Diamond yeye alienda kama mualikwa naamini hata angeenda Kingwendu watu wa Zambia wangejazana kwenye tamasha lao maalumu ila tunadanganyana kua kijana wetu amejazana uwanja ingawa mwenyewe Diamond aliweka wazi kua anaenda kuungana na wasanii lukuki toka Zambia kwenye hilo tamasha ni sawa uwepo wake ni chachu lakini hata asingeenda asingepunguza idadi ya watu,kwenye ukweli tuwe tunaambiana tu sio vibaya ila pia Diamond ametuwakilisha vyema kwa classic show.
Hivi hawa wa Zambia hawana akili kiasi gani wamlipe Diamond zaidi ya milioni 100 bure wakati uwanja hata kingwendu anajaza?
Wana pesa sana au?
Alafu mtu kama wewe utakuwa umesoma na una degree
Nchi hii ina zaidi ya majanga
Mkuu nyingine hii hapa itafanyika DRC Congo sijui mtasema nini
1505631585713877950.jpg
 
Kama walikuwa wanauwezo wa kujaza uwanja bila diamond walimualika wa nini kupoteza zaidi ya milioni 100 za bure? are you serious?
Wanatanzia tunapenda mafanikio lakini tunachukia waliofanikiwa
Mkuu nyingine hii hapa itafanyika DRC CONGO akijaza tena uwanja huko mtasema Tekno hakwenda
View attachment 503598

Hivi hawa wa Zambia hawana akili kiasi gani wamlipe Diamond zaidi ya milioni 100 bure wakati uwanja hata kingwendu anajaza?
Wana pesa sana au?
Alafu mtu kama wewe utakuwa umesoma na una degree
Nchi hii ina zaidi ya majanga
Mkuu nyingine hii hapa itafanyika DRC Congo sijui mtasema nini
View attachment 503599

Diamond amejaza uwanja na bila yeye lile tamasha lingekosa watu na amelipwa 100 sijui nani kakuambia iyo inawezekana wewe ndio Diamond.
CASE CLOSED....
 
Naongea kitu ninachokifahamu na nina uhakika nac gho kwa show za nje ya Tanzania tena akienda na bend yake kupiga live
Diamond bila milioni 130 za kitanzania hajafanya show
Show za ndani yyt t a Tanzania akipiga live bila milioni 100 hajafanya show muulize Eric Shigongo atakupa habari
 
Uyo ni hater
 
Back
Top Bottom