Suala ni kwamba serikali iliagiza uhakiki wa vyeti bandia na ikawa hivyo. Sasahivi amegundulika kiongizi ambaye hana vyeti halali. Je ilikua ikiwahusu watumishi wengine tu? Suala la upendeleo likiachwa litaleta tabu siku za usoni ndio maana wapinzani wanataka kuliweka sawa mapema.
Jamani kama kuna anayejua sababu za kuchelewa kwa mkopo kipindi hiki anifahamishe. Ilikuwa tupewe tangu katikati ya mwezi wa nne lakini paka sasa ni patupu bila taarifa yoyote.
Swala ni kwamba Kikwete alishauri kiroho safi ila Kagame akachukulia kwa mtazamo wake binafsi kwa tafsiri tofauti na lengo la mshauri. Kikwete hana kosa kwa hilo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.