Wakuu kama wiki imepita nilikuja dawa za Malaria inaitwa Ekelfin na ikanisababishia kiuvimbe kwenye uume upande wa kushoto na tako ya kushoto pia, nasema hivi maana ni mara ya pili nakunywa hii dawa na inaleta matokeo haya haya!!
Lakini safari hii uvimbe ulikuwa na muwasho sana na kupelekea...
Wadau nafikiri wengi tinaifahamu hadithi ya kuhusu Ayubu na yanayoitwa majaribu!!
Katika hicho kitabu (Ayoub 1; 7) Mungu anamuuliza shetani "umetoka wapi?" Shetani anajibu "nimetoka duniani katika kutembea huku na huko"(bado sijajua mahali walipokutana), Hawa wawili wanaendelea kubadilishana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.