Masharti ya mganga ili uwe tajiri

samakinchanga

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
2,024
1,232
Kuna wanapata utajiri kwa masharti ya kulala chini ,au kutovaa viatu,wengine kutafuna mabinti zao (tendo la ndoa) n.k waweza ongezea mengine
ila ni utajiri wenye mateso.
 
Kuna wanapata utajiri kwa masharti ya kulala chini ,au kutovaa viatu,wengine kutafuna mabinti zao (tendo la ndoa) n.k waweza ongezea mengine
ila ni utajiri wenye mateso.
Mawazo ya kimaskini hayo..fanya kazi hakuna utajiri wa namna hiyo!!
 
Haya mambo bwana namkumbuka sana mshana JR yu wapi siku hizi jamani? laiti angekuwepo hii mada ingekuwa rahisi sana
 
Mie mganga aliwahi kuniambia nimtongoze dada'angu, nimpeleke akiwa kishakubali hivyo akifika yeye ni kukanyaga tu...sikurudi kwake tena. Mwingine akaniambia nilale juu ya mti, kweli usiku ulipofika nikapanda mtini, nikalala nimening'inia...ilipofika kama saa sita hivi nikasema hu ni useng*e, nikarudi zangu kwenye sita kwa sita yangu.
 
Back
Top Bottom