Kwani hao wazee wa Dar es salaam wanawakilisha wazee wa nchi nzima ?Tena hao si wale wa vijiwe vya kahawa Mitaa ya Livingstoe na Kariakoo,Magomeni Mapipa na Mwembe Chai tena wana pensheni zao.Wazee wa Namanyere Meatu ,Kiraracha,Namtumbo, Nangurukuru na kule...
Mimi nina Library kubwa sana ya vitabu mbali mbali viko kwenye PDF format namna ya ku upload hapa ndo sijui.Nina zaidi ya vitabu 6000 kuanzia riwaya , philosophy, business, educational nk.Njoo unijuze ni upload vyote vyote wapendwa wajipakulie kwa tani zao.
Nimeona tukio hilo katika taarifa ya habari ya saa moja usiku Channel Ten, Ni la kweli ila linasikitisha sana! Mwalimu anaiba kwa sababu ya shida , Kipato hakimtoshi.
Lakini kumwaanika katiak mkutano wa Kijiji huku wakidai wamemsamehe.....ni kudhalilisha taluma...
QM Kamata kamata mbaya, Huyu jamaa aliwatenda wengi sana pale Mlimani hata ukiongea naye anasema maisha ya Probability siyo mchezo.Mwaache aende zake.............:frusty:
Nimetembelea mabanda mbali mbali tangu Wizara na mashirika mbali mbali wameanza kuonyesha tulikofikia miaka 50 ya Uhuru TANZANIA BARA. Nimeongea na watu mbali mbali, waonyeshaji na watendaji mbali mbali wa serikali na kujionea mwenyewe yale yanayoendelea.
Ukweli...
This is not an excuse or even an endorsement, but it might be the first step to recovery. Have you even been able to admit this to yourself?
I believe that everyone has cheated at some point. I can remember a take home test that a teacher gave. The test was VERY difficult and would take a...
You are cordially invited to the "Making a Difference" - AFRICAN WOMEN in BUSINESS Conference Luncheon on the 29th of July 2011 @ SOAS - School of Oriental & African Studies, 12pm - 8pm.
There will be a Networking Reception from 6pm till 8pm. All are invited. REGISTER EARLY SINCE MEALS NEED...
Rectal bleeding (known medically as hematochezia) refers to the passage of red blood from the anus, often mixed with stools and/or blood clots. (It is called rectal bleeding because the rectum lies immediately above the anus, and although the bleeding indeed may be coming from the rectum, as...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.