Wizi katika Vituo vya Mafuta!!!

kuhusu kuchakachua kwa maeneo ya mjini sio rahisi mkubwa,hao jamaa wa ewura wanakagua karibu kila wiki wanapita kuchek,then kule kwa vendors napo kabla tanker haijatoka inawekewa drops flan hivi,kuna kampun moja ya kisanii inaitwa global fluids international.hizo drops endapo utachanganya mafuta yatabadilika na kuwa creamy colour.
Hiyo dawa ya GFI watu washaijulia, wanaweka maji juu ya mafuta halafu kwa kua density ya maji hua ni kubwa basi maji yataenda chini tu, sasa kadiri tank (lori) litakapokua linaenda, yale maji yatakua yakihamia chini huku ''yakiosha'' ile dawa, mwisho wa safari dawa yote inabaki chini na maji, mafuta yanabaki juu utafikiri hayajawahi kuiona wala kuisikia hiyo dawa,MJINI HAPA!!
 
Ushauri wangu ni kama alivyosema mkuu kuwa ni vizuri kuwa na mazoea ya kujaza mafuta katika kituo kimoja. Mie huwa napenda kujazia BP ingawaje bei yao ni juu. Tututmie galon za oil kwa kuchukulia mafuta kwa usalama zaidi
 
Back
Top Bottom