Ofa ofa ofa kamambe ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ofa ofa ofa kamambe !

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ABEDNEGO, Jul 15, 2011.

 1. ABEDNEGO

  ABEDNEGO Senior Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 109
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  WanaJF ;TTCL wametoa offer kamambe tangu saba saba, Na sasa bado inaendelea pale Ubungo Plaza(TTCL Office).Wanatoa simu za mezani(CDMA) zile zenye modem wireless BURE.Unachotakiwa ni kununua voucha ya shillingi Elfu Kumi ambayo itawekwa ndani ya simu yako , pia uwe na kitambulisho kwa ajili ya kusajili mtandao wako. Hakika watu ni wachache wanaojua ofa hii,Wewe ni wa muhimu kuwahi. Zaidi ya yote kuna ofa ya BANJUKA ambapo utasurf kwa shilingi 500/= kwa saa wakati wa usiku kuanzia saa tatu hadi asubuhi.

  WAHI SASA BILA KUCHELEWA KUNA HANDSET ZIPATAZO 4,000 TU.
   
 2. Timor

  Timor Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 15
  Mkuu sana shukrani naziendea mbio mbio sijui lifoleni hili nitawahi?
   
Loading...