Mwalimu Mwalimu atuhumiwa Kuiba Mahindi

Mwalimu Mwalimu atuhumiwa Kuiba Mahindi

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
mwalimu wa shule ya msingi Ndaga (Mbeya) aiba mahindi ya wana kijiji yenye thamani ya shilingi Milioni Moja

(Channel ten Habari)

Nimeona tukio hilo katika taarifa ya habari ya saa moja usiku Channel Ten, Ni la kweli ila linasikitisha sana! Mwalimu anaiba kwa sababu ya shida , Kipato hakimtoshi.

Lakini kumwaanika katiak mkutano wa Kijiji huku wakidai wamemsamehe.....ni kudhalilisha taluma ya ualimu. Lakini mbaya zaidi ni kwamba hawatapata Mwalimu wa kujaza nafasi hiyo mapema , Pia Mwalimu huyo siyo rahisi kuendelea kufundisha katika shule hiyo ya Ndaga.

Kama Kijiji kilikuwa na nia nzuri kingetoa taarifa kwa mamlaka yake ya nidhamu,Wajue hatua za kuchukua.Vinginevyo jinsi walivyomdhalilisha huyo mwalimu. Ni dhahiri waalimu wengine wataogopa kuwapa ushirikiano wanakijiji.
 
utakuta mwalimu anadai mil 3 . Kwanza huko bushi mahindi yapo hayana kazi wanakijiji wanga tu wanawaloga na kuwabaka walimu eti kutembea na mdada wa mjini sijui wanadhani wadada wa mjini wana ladha ya ajabu
 
Ni ubunifu tu alioufanya huyo mwalimu wala hana kosa.
 
Alichoniudhi ni kuiba vimahindi vichache ivo, siku nyingine aongeze bidii, chanel 10 nao wambea tu, walioiba pesa kwenye viroba kupitia STANBIC BANK hawakuwapiga picha ila camera zao kwa vidagaa tu. HEKO MWALIMUUUUUU
 
Timor ungekuwa mdada ningekwambia nimependa hii pink uliyoweka kwny maandishi hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom