Wakati taifa letu likiwa katika usingizi mzito usiokuwa na njozi, "Muungano wa Falme za Kiarabu" (UAE) walianzisha mpango wa mda mrefu wa kuwa na mbuga za kisasa mfano wa mbuga za Tanzania, na kisha kuzipa majina yaleyale (Serengeti, Ngorongoro, Manyara, na Mikumi) kisha kununua wanyama chungu...