Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 5,738
- 15,211
Mapdri jijini Mwanza kwa umoja wao wametangaza kuwa tarehe 23/3/2024 kwenye viwanja vya kawekamo litafanyika azimisho kubwa la kumkumbuka aliyekuwa rais wa awamu ya tano ya nchi yetu, Hayati Magufuli kwani aliifanyia makubwa nchi yetu ikiwemo kuivusha kwenye kipindi cha Corona na nchi kuingia uchumi wa kati mapema zaidi.