Recent content by Tilumanywa

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    😂😂😂😂😂
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba warudia tena kosa lingine kwenye usajili

    [emoji23][emoji23][emoji23]washapoteana
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa CAF, hizi ndio timu zilizotwaa Ubingwa wa CAFCC tangu kuanzishwa kwake

    Kila la kheri Yanga
  4. T

    JamiiForums Tanzania Watu 48 waokolewa mafuriko Morogoro

    Poleni sana...tafadhali chukueni tahadhari zote muhimu
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mabati ya rangi/sunshare kwa price list ya kiwanda

    Weka bei mkuu
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Hii yangu tofauti mkuu.. option inakuwepo ila once napo insert line ya hao jamaa wa halotel inapotea...nikirudisha line ya vodacom options zinarudi
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Hahaha mkuu nimekupata vizuri.... nahama soon!
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Asante mkuu... hicho kiji pop up kinatokea wakati gani..ni wao halotel wana ki fire au ikoje hii mkuu
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Nina iPhone 5s nikiweka line ya halotel inaficha options za personal hotspot lakini nikiweka line za kampuni nyingine options zinarudi...tatizo lawezakuwa ni nini..msaada tafadhali
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuwa mchumba

    Ni kweli mkuu...napata wasiwasi baada ya miaka kumi ijayo hali itakuwaje
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tushee Uzoefu: Mliowahi kuwa na mahusiano na wanawake waliowazidi umri

    Mkuu umenichekesha sana..
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada/wamama, si vibaya mkawa na subira walau kidogo kwenye mahusiano

    Pole mkuu....mvumilivu hula mbivu[emoji12]
  13. T

    JamiiForums Tanzania Maneno maarufu secondary za bweni

    Nyuka -uji Tope -uji usiowekwa sukari Kipute - msichana mrembo Kipori -msichana mwenye sura mbaya Kwa mama -mgahawani Busati - ukoko wa wali Kitomari - andazi Kulazwa - kukosa nauli
  14. T

    JamiiForums Tanzania Je, Mjamzito kupata hedhi kuna tatizo?

    Wahi hospitali mkuu
  15. T

    JamiiForums Tanzania Neno la Shukrani

    Pole sana mkuu...mama yetu mpendwa apumzike kwa amani..
Back
Top Bottom