Recent content by tikotiko

  1. tikotiko

    GE2010 Dr slaa anaweza kuangushwa na ''wasomi''

    Unazungumzia "wasomi" wa Mzumbe au Tanzania nzima? Mimi naona nguzo ya Slaa ipo kwa mwananchi wa kawaida zaidi!! Kwa uamuzi huo wa hao "wasomi" wa Mzumbe nadhani naanza kukubaliana na jamaa zangu waliokuwa wanajadili kiwango na uwezo wa upembuzi wa mambo kwa wasomi wa vyuo vyetu....wangeuka kuwa...
  2. tikotiko

    Bank Gani Tz naweza ku e-bank..msaada tafadhali

    Mkuu kwa Card za hapa bongo ukiacha (Mastercard ya Exim Bank) unaweza kutumia (VISA CARD) popote duniani, tatizo lake charge zak eziko juu sana kuliko ukifanya transactions kutumia card za benki za nje ya nchi hapa nyumbani! Jambo jingine hapa kwetu mitandao ipo slow sana, kwa transaction nje ya...
  3. tikotiko

    Natafuta wataalamu wa kutengeneza tovuti

    Thanks Ramthods, You have my contact details, drop me a line
  4. tikotiko

    Natafuta wataalamu wa kutengeneza tovuti

    Wakuu habari za leo; Jana niliweka post kwamba tunahitaji msichana kufanya kazi za secretarial, nashukuru kwa maoni ya wadau kadhaa tumefanikiwa kumpata mtu. Kampuni yetu ni ndogo na ni mpya lakini tumeadhimia kuiendesha ki-sayansi zaidi kwa lengo la kutoa huduma bora kabisa kwa wateja wetu...
  5. tikotiko

    Msichana anahitajika kufanya secretarial duties

    WAKUKAJA nakushukuru! Nitumie details kwa email niliyoweka hapo, nifanye mawasiliano moja kwa moja. Maybe I'll pick one of them tukielewana. Asante sana
  6. tikotiko

    Hotuba ya rais Kikwete Bungeni Julai 16 - Full Text

    Nyepesi nyepesi zilizonifikia ni kwamba JK ameamua kutoa USD 50,000,000 (za serikali, si zake) ili kununua MASTERING STUDI baada ya kushauriwa kwamba eti wanamuziki wa Bongo Flava wamekosa studio ya aina hiyo??. NI KWLEI SERIKALI IMETOA DOLLAR MILIONI HAMSINI KUNUNUA STUDIO HIYO?? Tumeliwa...
  7. tikotiko

    Msichana anahitajika kufanya secretarial duties

    Wana JF Nahitaji MSICHANA mwenye uzoefu wa kazi za SECRETARIAL SERVICES. Ofisi yetu ipo maeneo ya Mnazi Mmmoja, around CLOCK TOWER, Dar es Salaam itakuwa inajihusisha na kazi zifuatazo:- All type of Secretarial Services (Typing, Phone & Fax Communication Services) Photocopying, Printing...
  8. tikotiko

    Nissan Ad Van 2005

    Kaka kwa bei hiyo achana na hilo gari, uatadanganywa lakini ukweli unabaki palepale, aliyepanga bei anajua quality ya gari!! The higher the price the better the quality! Nissan hiyo hiyo inapatikana kwenye mitandao mingine kwa $4500 FOB..... Kuhusu BMW anayesema hakuna mafundi ni nani? Ipeleke...
  9. tikotiko

    Matukio Tisa yaliyomdhalilisha Rais Kikwete 2006-2010

    Jamani kuna nyingine hisemwi: Pale Dubai April 12, 2010 Mheshimiwa Rais baada y akushuka kwenye ndege, akisubiri msafara wake uanze kuondoka (yeye akiwa ndani ya gari maalaum) walishuka abiria na wengi wakawa wanmpungia mkono mheshimiwa. Cha ajabu dada mmoja (Alikuwa anaongea sana kiswahili...
  10. tikotiko

    Nini kilimsibu Haruna Moshi?

    UKWELI: Tanzanian star Haruna Moshi returns home from Sweden By Emmanuel Muga BBC Sport, Dar-es-Salaam Tanzanian international Haruna Moshi has returned home to doubts...
  11. tikotiko

    GE2010 CCM na wasanii waliofulia....

    Jamani nimesoma comment ya Chegge kuhusu perfomance yao pale Dodoma kwenye mkutano mkuu maalum wa CCM! Kuna neno Chegge amecomment kwenye Facebook kuwa "wamekinukisha" mbele ya JK.....!! Kwa kumbukumbu zangu siku ya tukio JK alikuwa so excited, alikuwa anachekelea tu mwanzo hadi mwisho, hata...
  12. tikotiko

    GE2010 CCM na wasanii waliofulia....

    Kwa CCM walichofanya ni kujidhalilisha kisiasa mbele ya dunia! Sijaona kwingineko duniani mkutano mkuu wa chama ukageuzwa jukwaa la muziki na burudani!! Walioalikwa ni wanamuziki wasiokuwa na upeo, wale ambao watafurahisha tu CCM bila kutazama kwa undani zaidi madhara ya muziki na sanaa yao kwa...
  13. tikotiko

    Kikwete kupata mlo wa mchana na wasanii wa bongo flava leo dodoma

    Njaa, asante kwa ushauri, naheshimu maoni yako!! Tuko pamoja
  14. tikotiko

    Kikwete kupata mlo wa mchana na wasanii wa bongo flava leo dodoma

    Baada ya wasanii wa bongo flava kumsifia sana JK na CCM yake kwenye kikao kilichomalizika juzi mkuu wa kaya ameamua kuwaita na kupata nao chakula cha mchana leo!! Itakumbukwa baadhi ya wasanii wanajulikana ka staili yao ya mavazi na kujihusisha kwao na vitendo visivyofaa (si mnakumbuka TMK?? na...
  15. tikotiko

    GE2010 Siasa za Tanzania na ukweli wa mambo! Mtazamo wangu mimi

    Ndugu yangu Jasusi, kiu ni kali ngoja narejea...
Back
Top Bottom