Bank Gani Tz naweza ku e-bank..msaada tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bank Gani Tz naweza ku e-bank..msaada tafadhali

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ubungoubungo, Jul 19, 2010.

 1. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  wakuu, naomba kufahamu hapo bongo, ni bank gani naweza kumake transaction kwa internet. bank kama stanbic, baclays na standard chartered ziko hivyo au vipi wakuu, tafadhali msaada hapa...
   
 2. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  CRDB wanahiyo huduma lakini, unatakiwa uwe umejisajili,
   
 3. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  thanks mkuu, nimejisajili kwa vipi?
   
 4. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  pia naomba ushauri kwa wale wenye banker kama stanbic na zingine ambazo zina connection na service zingine kama mastercard, maestro,cirus,interact etc kama zinafanya kazi sawa na bank za nchi zilizoendelea au africa ndo africa tu siku zote...crdb najua wanayo huduma ya kimataifa ya sijui viza.....
   
 5. K

  Kosmio Senior Member

  #5
  Jul 19, 2010
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 128
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Standard Chartered Bank wana e-bank nzuri zaidi. Wenyewe wanakupa uwezo wa kufanya transaction within the bank and any other bank within Tanzania na overseas. Unapewa kakifaa wanakaita Token kanatumika kukupa PIN ya kufanyia transaction kila unapohitaji kutumia.
   
 6. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Mkuu nenda kwenye tawi ulilofungulia account au unaweza waandikia kupitia hii mail crdbonline@crdbbank.com,,,,watakutumia form na maelezo mengine utatakiwa kuzijaza na kuwarudishia then watakusajili,, ni rahisi saana,

  Kuhusu hizo bank nyingine kama card ni visa unaweza itumia mahali popote duniani, crdb, exim, na bacleys nimeshatumia card zao shehemu mbali mabli bila usumbufu,,ila kama unasafiri mkuu usitegemee card kwa asilimia mia kwani unaweza umbuka yalishanikuta ikabidi nikatishe safari
   
 7. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Asante sana mkuu...who's the owner of this bank...thanx so very much. nafikiri hii ni nzuri.
   
 8. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  asante mkuu kwa ushauri.
   
 9. K

  Kosmio Senior Member

  #9
  Jul 19, 2010
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 128
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nimeitoa hii kwenye website yao.
  The Standard Chartered Group: background

  The Standard Chartered Group was formed in 1969 through a merger of two banks: The Standard Bank of British South Africa founded in 1863, and the Chartered Bank of India, Australia and China, founded in 1853.
  This friendly merger allowed both banks to capitalise on the expansion of trade caused by the increased movement of goods from Europe to the East and Africa.
  In 1986 a hostile takeover bid was made for the Group by Lloyds Bank of the United Kingdom. When the bid was defeated, Standard Chartered entered a period of change. Provisions had to be made against third world debt exposure and loans to corporations and entrepreneurs who could not meet their commitments. Standard Chartered began a series of divestments notably in the United States and South Africa, and also entered into a number of asset sales.
  Since the early 90s, Standard Chartered has focused on developing its strong franchises in Asia, Africa and the Middle East, using its operations in the United Kingdom and North America to provide customers with a bridge between these markets. We have also focused on consumer, corporate and institutional banking, as well as the provision of treasury services – areas in which the Group has particular strength and expertise.
  In the new millennium we acquired Grindlays Bank from the ANZ Group and the Chase Consumer Banking operations in Hong Kong in 2000.
  Since 2005, we have achieved several milestones with a number of strategic alliances and acquisitions that will extend our client and geographic reach and enhance our capabilities. Some of them include A Brain, American Express Bank, Cazenove Asia, Harrison Lovegrove and Pembroke.
  [​IMG]
   
 10. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hiyo ni safi. ningependa kujua pia, kwenye card zao, wanazo service kama za mastercard, maestro na zingine?....ninayo bank yangu ya nje na nimeishi kwa mastercard etc pamoja na kwamba, kwenye ATM zao hapo bongo kwa mfano exim, stanbic na barclays, unaweza kuchomoa pesa kwa njia hii... kama hivyo kwa muda mrefu sana...thanks for this thread....imenisaidia mimi pia..God bless you.
   
 11. tikotiko

  tikotiko Member

  #11
  Jul 19, 2010
  Joined: Jul 9, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu kwa Card za hapa bongo ukiacha (Mastercard ya Exim Bank) unaweza kutumia (VISA CARD) popote duniani, tatizo lake charge zak eziko juu sana kuliko ukifanya transactions kutumia card za benki za nje ya nchi hapa nyumbani! Jambo jingine hapa kwetu mitandao ipo slow sana, kwa transaction nje ya nchi unahitaji benki yenye HIGH SPEED INTERNET. Mara nyingi kwa sababu hii huwa zinagom aukiwa nje, so ni bora ukanunua dola za kutosha na kusafiri nazo (kwa usalama zaidi)...
  Kuhusu kadi za mabenki mengine ya nje ya TZ...HIZO HAZINA SHAKA, mwaka wa 4 sasa natumia benki ya nje na sijawahi kukwama

  Nakutakia kila la kheri
   
 12. K

  Kosmio Senior Member

  #12
  Jul 19, 2010
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 128
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wanatoa VISA Standard na Platinum. but they accept other cards too.
   
 13. damtu2

  damtu2 Member

  #13
  Jul 24, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  useful stuff.. :smile:
   
Loading...