Msichana anahitajika kufanya secretarial duties | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msichana anahitajika kufanya secretarial duties

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by tikotiko, Jul 16, 2010.

 1. tikotiko

  tikotiko Member

  #1
  Jul 16, 2010
  Joined: Jul 9, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF

  Nahitaji MSICHANA mwenye uzoefu wa kazi za SECRETARIAL SERVICES.  Ofisi yetu ipo maeneo ya Mnazi Mmmoja, around CLOCK TOWER, Dar es Salaam itakuwa inajihusisha na kazi zifuatazo:-
  1. All type of Secretarial Services (Typing, Phone & Fax Communication Services)
  2. Photocopying, Printing works & Scanning
  3. Internet Services (future plans...to start in abaout a month)
  4. Selling of Airtime (re-charge vouchers...Zain, tIGO, Vodacom, Zantel etc
  5. Selling soft drinks & all other stationary supplies
  6. CD Burning & Recording
  Ofisi itakuwa na watendaji wawili, KIJANA wa kushughulikia masuala ya Internet na Printing works (large printing) and CD burning & recording tayari amepatikana.

  Kwa yeyote anayemfahamu mtu, au BINTI mwenye uzoefu wa kazi hii ani-PM au anitumie email kwa kutumia address (email hii hapa chini)

  slukanga71@gmail.com

  ASANTENI
   
 2. W

  Wakukaja New Member

  #2
  Jul 16, 2010
  Joined: Mar 5, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mheshimiwa salamu kwako, naomba nikujulishe kuwa, nina wasichana wawili ambao wanatofauti katika uzoefu,
   
 3. tikotiko

  tikotiko Member

  #3
  Jul 17, 2010
  Joined: Jul 9, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WAKUKAJA nakushukuru! Nitumie details kwa email niliyoweka hapo, nifanye mawasiliano moja kwa moja. Maybe I'll pick one of them tukielewana.

  Asante sana
   
 4. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Nafasi ya house girl huhitaji?
   
 5. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2010
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  LUTALA hujasoma post ya jamaa? Anataka Secretary...siyo msichana wa ndani
   
 6. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Ndugu Umeshapata msichana au bado nikuletee muumini wangu mmoja?
   
 7. Qulfayaqul

  Qulfayaqul JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2010
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 471
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kama hujapata bado hebu cheki na huyu mwenye namba hii 0714-019938 mtaongea
   
 8. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2010
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Mnaanika namba za mabinti hapa si ungem-pm!
   
 9. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Pengine alikuwa anatarajia kuitangaza siku chache zijazo


   
Loading...