Recent content by Tikiling'iniye

  1. T

    JamiiForums Tanzania Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    Anayejua na yupo Dar please Naomba kujua hydroponic solution nitaipata Wapi?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli akubali yaishe maisha yaendelee

    Hili nalo neno
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wafuatao wanastahili kujiuzulu kumuunga Nape Mkono

    Chapa kazi tu
  4. T

    JamiiForums Tanzania Uvunaji wa asali unaendelea, wakuu tuwasilianeni

    Mkuu nta munauzaje kwa kilo
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miezi minne toka afunge ndoa, baba mkwe kaja kuishi nae

    Dawa ya deni ni kulipa
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemtongoza jana, leo anataka nimtumie hela

    Ahhahahshsh ulitaka aombwe nani?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Biashara Leo: Ondoka, Hakuna aliyekuita hapa

    U a right. mteja anatakiwa kubembelezwa. huwezi mjali mteja kwa kumuangalia machoni kuwa anachotaka ana uwezo wa kununua ama la. Usifanye makosa. treat every customers or clients equally
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ngeleja: Zitto aliomba na kupewa milioni 30 kutoka kwa Rugemarila

    Kumtaja Zitto hakukuondolei kitu. Hahahahaha taja na wengine but ushahidi muhimu
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu katumia namba nyingine kunitongoza

    Hahahaahha imekula kwako. geuza upande wa.pili ungechukua uamuzi gani? pole.sana.
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Where to start unapoitwa kaka na shikamoo za kutosha

    Believe in urself. Atakuelewa
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ana tatizo kubwa msaada please

    Mke wako anahitaji kupendwa sana na kuwa karibu nae sana. inapotokea kakosea.mrejeshe kwa upole na usirecall yaliyopita.
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namuhurumia sana mpenzi wangu wa zamani

    Akikua ataacha tu kuandika hivi. Ni utoto unamsumbua. peleka hii issue Fb wenzio watakushauri
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke akutwa na risiti ya lodge

    Na wanaume.je? kikubwa ni.kuwa mwaminifu
Back
Top Bottom