Mawaziri wafuatao wanastahili kujiuzulu kumuunga Nape Mkono

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,856
Wafuatao wakiweka njaa zao pembeni wanastahili kuungana na Nape kupinga udhalimu wa kimadaraka unaoendelea.

Mwigulu, Kigwagala, Makamba, Ummy,Jafo n.k. Jiuzuluni kupika kitendo cha Nape kufukuzwa kisa kasimamia ukweli juu ya Bashite.
 
Hii ni Tweet ya Kigwangala. Kuna hilo unalolisema kweli???
 
Attachments

  • Screenshot_20170323-123530.png
    Screenshot_20170323-123530.png
    35.3 KB · Views: 64
Wafuatao wakiweka njaa zao pembeni wanastahili kuungana na Nape kupinga udhalimu wa kimadaraka unaoendelea.

Mwigulu, Kigwagala, Makamba, Ummy,Jafo n.k. Jiuzuluni kupika kitendo cha Nape kufukuzwa kisa kasimamia ukweli juu ya Bashite.
Hacha wachape kaziiii,,,,,,,kuwambia wajiuzulu no nidhamu za uoga
 
Hii ni Tweet ya Kigwangala. Kuna hilo unalolisema kweli???

Kazi kweli kweli...huyu Jamaa si ni Doctor wa binadamu huyu.

Mkuu @ kigwangala waza nje ya box basi mbona Elimu yako kujiajiri nje nje.
 
Uzuri ni kwamba Magufuli atawatoa tu. Yaani kufanya kazi na huyu Mbaba ni issue Sana.
 
Tunawaza namna ya kupangua uzao wote wa JK japo kuwapata inahitaji timing ya hali ya juu, huyu alilelewa sana na JK kwenye chama hivyo kwenye ulingo halisi alionyesha kushindwa tangu kwenye bunge live!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom