Tamaa mbaya, unaonekana unapenda sana vya mteremko, ulijua umepata kumbe umepatikana. Mfuate mwambie ulijua kama ni yeye kwa hiyo ulitaka kuona je angekuja guest kweli. Lakini kwa sababu hujaja sasa unamuamini zaidi.
Huujui ukweli, am full Christian usije sema nipo upande wa Muddy
Tuambie huo ukweli unaoujua wewe kumhusu Yesu usikimbie hoja yako.
Alikuwa anatafuta sababu
Hii thread sio ya dini, ukitaka kuujua ukweli nitafute kwa mda wako dogo
Kama sio ya kidini kwanini umeingiza mambo ya kidini humu futa kauli yako na umuombe Yesu msamaha kwa kumpakazia uongo.
Mwambie kuwa ulikuwa hauendi kumgegeda, ulikuwa unaenda huko gesti kumpa kichapo. Na huyo demu wako kwa akili hiyo atakusumbua sana hata mtakapofunga ndoa. Nina experience na wadudu wa aina hiyo. Atakuwa anatongoza hata wafanyakazi wenzako (wa kike) kwa simu yako akiwatumia text za mapenzi, wakijibu friendly tu (kwa sababu wanakuheshimu hawawezi kukunyea) basi nyumbani itakuwa inakuwa kesi. Ogopa sana demu mwenye wivu na majaribu kuliko ibilisi. Atayafanya maisha yako kuwa living hell!
Ndugu wanajamvi, naombeni ushauri mwenzenu, juzi dem wangu katumia no nisoijua, ktk maongezi, ckumjua ila sauti ilitaka kufanana na mchumba angu, nikampigia kumulza dem wangu akakataa c yeye, aliepiga, ktk kuchat na huyo mtu akaanza kuniulza unamchumba, nikakubali, anishi wapi nikamwambia, kwao wanakujua nikajibu ndy baadhi ya ndugu wananijua, akaanza ooh minakuhitaji uwe na mimi, we unasemaje, nikakata ktk kuendelea cku ya pili nikamwambia tuonane kwanza, coz mi ckujui, ikaendelea ivyo hadi kanishawish nikakubal nikajua ni mchupuko tu,kanambia chukua room gest nikalipia room gest, kumbe ni mchumba ndo kanichezea huo mchezo, hapa asahivi kakimaa kuwa tuachane coz mi malaya, na mwez ujao ndo ilikuwa nikalipe mahali, so naombeni ushauri wenu ndugu zangu,
Hahahhaaaaaaaaaaaaa! NEXT TIMEMTU HUMJUI AKIKUTONGOZA MKOPE KILO! Akiwa serious atatoa, kama ni kukujaribu tu, kila nyingi sanaaa.