Recent content by Tifubaby

  1. Tifubaby

    JamiiForums Tanzania Bakwata uislaam huo mmeutoa wapi? Kumbukeni moto ni mkali sana mtaenda chomwa

    Bakwata tena ongeza sauti kidogo zifike kwenye ngoma za masikio yao.
  2. Tifubaby

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana taa za barabarani kuongoza magari kuliko kukaa trafiki?

    Inawezakana kabisa gari kuongozwa na taa kuliko Trafiki na mara nyingi Trafiki ndo wanao sababisha foleni kukidhi mahitaji yao kama rushwa na mengineyo
  3. Tifubaby

    JamiiForums Tanzania Nichague ipi kati ya Nissan Fuga New model au Toyota Crown new model

    Mbimbinho, Hapo machine ni Fuga ila kama hauna uzoefu na magari chukua tu Crown maana Fuga linataka care yahali ya juu mfano wa mjazito mwenye fuko jepesi
  4. Tifubaby

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata kiasi cha pesa unachokihitaji kimiujiza

    Umaskini mbaya
  5. Tifubaby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Watu watatu wauawa na alshababi

    Nisharekebisha
  6. Tifubaby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Watu watatu wauawa na alshababi

    Inamaana walivamia basi andika vyema basi tuelewe
  7. Tifubaby

    JamiiForums Tanzania Historia za Nchi mbalimbali

    Historia fikirishi nzuri
  8. Tifubaby

    JamiiForums Tanzania DAWASCO mnatunyanyasa sana

    Km nikwako chimba tu kisima aisee maana wamelala huko ndo tuseme kinyerezi ninayoijua mm maji haya hayatoki huku kwetu kila baada ya Siku mbili yatoka
  9. Tifubaby

    JamiiForums Tanzania Heavy studying materials available here

    Yanatakiwa yawe mepesi kueleweka sio heavy
  10. Tifubaby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kenya walioko China kutumiwa hela za matumizi na serikali

    Kwahiyo mkuu unatukejeli au vipi
  11. Tifubaby

    JamiiForums Tanzania Sirudii tena kumpigia kura mwanasiasa ambaye ameshawahi kuwa Mwalimu

    Mbona unataka kupoteza haki yako yamsingi sikila mgombea anampinzani pigia kura mpinzani wake aside kuwa mwalimu ili huyo mwalimu asipate
  12. Tifubaby

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Honda Fit kwa biashara ya usafirishaji wa Uber

    Inafaa zingatia tu mwaka wa hiyo gari
  13. Tifubaby

    JamiiForums Tanzania Wanamgambo wa ADF kutoka Uganda waua raia 16 na wengine kutekwa nyara nchini Kongo

    Uganda tena Mungu ajalie Aman Africa
  14. Tifubaby

    JamiiForums Tanzania UPDATE: Vifo kutokana na Corona vimefikia 2,004

    Ila lakufurahisha kuna mgonjwa amepona inaweza ikawa mwanzo mzuri
Back
Top Bottom