complex31
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 578
- 1,729
Marekani utaona kwamba ni taifa lililokua likiishi watu wanaotambulika kama Red Indians kabla ya Christopher Columbus kutia nanga katika nchi hiyo miaka ya 1400AD na kufanya bara hilo lijulikane na watu kutoka Ulaya waanze kwenda huko kutafta maisha mengine.
Uingereza utaona pia ni taifa lenye historia nyingi, utaona wakazi wa taifa hilo walianza kwenda huko miaka ya 2500 kabla ya Kristo na wameweza kutunza kumbukumbu kuhusu vita walivopigana toka “Invasion of Roman” miaka ya 43AD magonjwa yaliowasumbua kama Plaque na Polio.
Italia, hii ni nchi yenye historia kubwa toka kipindi cha Roman Empire ikiongozwa na mfalme Julius Cesar. Mji kama Rome umetengenezwa toka mwaka 753BC pia kuna majengo kama Colosseum iliotengenezwa karne ya kwanza.
Greece ama Ugiriki nchi hii inasadikika ndio yalikua makazi ya kwanza kuishi jamii zote za watu zinazopatikana ulaya. Zama za mawe za mwanzo za kati na za mwisho zote zimeweza kurekodiwa ugiriki. Mji kama wa Macedonia ulianzishwa mwaka 270,000BC pia ndio taifa la kwanza kua na jeshi imara (Sparta)
Hivyo hivyo nchi kama Korea (North na South) zina historia yao toka enzi za kina Jumong ikiitwa Gogureyo 37BC kwa wale wliotizama Jumong niwajulishe ile historia ina ukweli glani kuhusu Korea na Wafalme wao toka enzi hizo.
Nchi kama Mongolia ambapo kwa sasa haijulikani sana ina historia toka miaka ya 209BC na iliwahi kuwa na mfalme kwa jina la Ghenki Kan ambapo inasadikika asilimia 70 ya watu walio Asia ni uzazi wake ndio maana wengi wa Asians hua kama wanafana. Mfalme huyu aliweza kutawala sehem kubwa ya Asia kama China ya Sasa, Korea, Japan na kwingineko.
Nchi za Mashariki ya Kati Saidi Arabia pia ina historia yake kwenye miji kama ya Mecca, Madina kua Usilam ndio ulianzia huko kaburi la Mtume Mohamed lipo huko na Quarn ilishushwa katika nchi hiyo.
Huku kwetu Africa kidogo nchi zenye historia za kale ni Egypt, Ghana enzi za kina Mansa. Egypt ndio huongelea kipindi cha Yesu lakini nchi nyingine zote hazijulikana kabla ya Yesu kuja kulikua na nini au watu walikua wanaishi vipi.
Kama hapa kwetu Tanzania hatujui kwanini tuliunganishwa na Zanzibar hatuna historia ya kwetu kabla ya hizi dini Uislam na Ukristo kuja mbali na kuabudu mizimu makabila mengine yalikua yanaabudu nini.
Wengi wetu ukiwauliza wakutajie historia ya Babu wa Babu yake alikua ni mtu wa aina gani hawezi kujua.
Bob Marley aliwahi kuimba
“If you know your history, Then you’ll know where your coming from” wengi wetu hatujui tumetoka wapi ndio maana ni ngumu kujua tunaenda ukilinganisha na mataifa mengine.