Wanafunzi wa Kenya walioko China kutumiwa hela za matumizi na serikali

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,756
48,401
Wanafunzi wetu waliokwama Uchina kutokana na kirusi cha Corona, watatumiwa hela za matumizi na serikali ili wajikimu kimaisha wakisubiri mbinu za kuokolewa.
Majrani muige hili maana kuna video zinaonyesha jinsi wanafunzi wenu wanateseka pia.
  • The Government of Kenya on Thursday, February 20, offered Ksh1.3 million to be sent to 100 Kenyan students stranded in Wuhan, China.
    Spokesperson Colonel (Rtd) Cyrus Oguna stated that the money would be used for the students' upkeep.
    Wuhan is the epicenter of the dreaded Coronavirus which originated in China and has so far killed over 2,000 people.
    Oguna stated that facilitating the students' upkeep was a safer option compared to evacuating them from China as doing so could increase the risk of infection in the country.
    More to follow...
 
hapa kwetu kunataarifa yoyote ya namna hii
 
Hizo ni kama laki tatu za Bongo, muwatumie wa kwenu chochote, hebu ona wanavyoteseka hapa....

Wala hawajasema wana njaa au Wanataka pesa,

Wanachotaka ni kurudi nyumbani na hapo ni ngumu kidogo,
Ulichoandika hapo wala hakiendani na kilichopo kwenye hiyo video,
Serikali inawasiliana nao vizuri tu ili kufahamu maendeleo yao.
 
bro,,, hamuna kitu mnachoweza kuwatumia wa kwenu?
 
Mnajisifu kwa kuwatumia laki 2 na 50

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni bora kuliko kuwaacha wateseke jinsi wa kwenu wanateseka, sasa hapo italazimu hao wa kwenu wawe omba omba kwa wa kwetu.
Uganda pia inatumia wa kwake, nyie mnabana kisa umaskini wenu unasababisha muwe na roho nyeusi.
 
Hizi ni habari za uongo kutoka Serikali ya china. Rais wao ameambia serikali ya kenya kwamba taarifa zote kuhusu corona na
Screenshot_2020-02-21_212750.jpg
wakenya walioko Wuhan lazma chanzo kiwe Serikali ya china
 
Back
Top Bottom