Recent content by thug lyf

  1. thug lyf

    Car4Sale Ifahumu na kununua Subaru Imprezza

    Umejibu vizur sana comment za wadau ngoja nitoke mgodin nitakucheck boss
  2. thug lyf

    Mwanamke mwenye Vuzela huwa analeta stimu sana

    Owe woitwa wani gate lina lako la kukawa
  3. thug lyf

    Makabidhiano ya pikipiki baina ya tajiri na bodaboda

    Mbona biashara ya pikipiki za mkataba iko poa tu! Usimamiz wako tu, mi ninazo shaz na nakimbiza kama kawaida.
  4. thug lyf

    NAUZA MIFUKO/VIFUNGASHIO SIZE ZOTE KWA BEI RAHISI

    Ukiuza kwa tsh 300 sisi wauzaji wa jumla tutauza kwa bei gani??
  5. thug lyf

    Kwa niaba ya mzungu mswahili Kenya kesho jiandaeni tutawakung'uta

    Mimi ni nani nisiongee kiswahili.
  6. thug lyf

    Zabuni ya Ununuzi wa Vyuma chakavu kutoka Shirecu

    Kama kuna mtu anajua gar wanazouza anijulishe,ninatafuta Isuzu tx tipper
  7. thug lyf

    Yupo wapi siku hizi?

    Wap Abuubakar Sadiq wa radio one
  8. thug lyf

    Kutembelea hifadhi ya Mikumi; Je, naweza kodi gari la tours nje ya hifadhi kwa unafuu au ni lazima nikalipie package kwenye kampuni kama mtalii?

    Mi nilipanga niende mikumi kwa ajili ya kuwaona simba ile natoka Moro kabla cjafika hata mikumi nikawaona simba ilibidi nirudie pale pale
  9. thug lyf

    Special Thread: Kwa Wazawa wa Singida tukutane hapa

    Mkuu Ndege JOHN mi kijiwe chetu kilikuwepo pale mrumbani kwa juu tulikiita SNC(Singida niggers camp)tulikuwa tunauza bangi Singida nzima,ukija unakutana na Mzee baba Sakume kauzu
  10. thug lyf

    Singida: Mbunge wa jimbo la Singida Mjini uwanja wa ndege Singida utajengwa lini?

    Acheni tuwe wapole tu,safar hii singida mjin tumepatikana!!mtu kama barabara ya kuingilia kwake tu imemshinda vp kuhusu airport!??amalizie tu muda wake aachie watu wenye ushawishi
  11. thug lyf

    Nimeitwa ukweni Singida, mwenye kuzijua desturi za Wanyaturu

    Wasikutishe jomba,wanyatur mbona wako safi tu,wengi wameolewa na wapemba kariakoo na wametulia na ndoa zao!kama ni kweli jins wanavokushaur basi leo hii wangekuwa wamejazana wajane watupu singida.coz hakuna mwanaume amayekubal kuwa na mwanamke kiwembe,na singida ingekuwa inaongoza kwa...
  12. thug lyf

    Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

    Hiyo ist namba DKQ kula 7 mkuu
  13. thug lyf

    Brands maarufu za zamani Tanzania 90z kurudi nyuma

    Kulikuwa na kipind cha mama na mwana kikitangazwa na Deborah Mwenda RTD,unakisubiria siku ya jmos saa nane kamili mchana,ilikuwa raha sana
  14. thug lyf

    Rais Mstaaafu Dr. Kikwete 'ateta' na Rais Magufuli Ikulu leo

    Suala la MO ndo lililompeleka ikulu JK.ndo maana wanamhofia makamba wanahis kuna vitu anajua anaweza kuvujisha muda wowote,wakaona bora wampige pin
Back
Top Bottom