Zabuni ya Ununuzi wa Vyuma chakavu kutoka Shirecu

divide and rule

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
266
106
Wadau, katika gazeti la Daily news na Mwananchi, kuna tenda ya kununua vyuma chakavu vya chama kikuu cha Ushirika mkoa wa Shinyanga Shirecu(1984) ltd, wale wadau mnakaribishwa.
IMG-20190527-WA0044.jpeg
 
Daaah! Hapa ndipo akina Mgeja wametufikisha. Leo hii inauza viwanda vyake kama vyuma chakavu.
 
Owkey, japo sidhani kama kuna Plant mpya kiasi cha kutoiuza. Magari pia yote inawezekana yamepaki.
 
Kama kuna mtu anajua gar wanazouza anijulishe,ninatafuta Isuzu tx tipper

Hizo sidhani kama unaweza kupata kule, gari nyingi walizonazo ni Land cruiser, DAF na Isuzu Injection nadhani lakini sio tipper
 
Back
Top Bottom