Recent content by thiopetal

  1. T

    JamiiForums Tanzania MC Pilipili asema mahari ya mchumba wake ni milioni 8

    Jamaaa kapigwa Maana miaka hii... Mahari zimekuwa chini sanaa...mno. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamme wa kunioa.

    Wanasemaa nyakati sa Usiku hata konokono wanaweza King'ataa... Best ov lucky... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. T

    JamiiForums Tanzania Serikali iwaangalie broiler breeders wanaoshindana na wafugaji wadogo

    Wachache wanakuelewa mkuu.. Hii sector inadeal n'a biological system kwaiyo kufananishia n'a kinabakhresa n'a chapati... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: MSHAHARA WA MILIONI 400

    Hongeraa Naanza sasa kuelewa alichorudi kufanyaa
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hatimaye! Unaweza kufanya malipo mtandaoni kwa M-Pesa

    Jaman kuna mtu yeyote kafanishika kushanya Online lähmend kwa kutumia nyoa hii ... Pls tufahamishane ..natka nijaribu now
  6. T

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi kunyimwa mkopo

    Sio kunyimwa ni kukosa!!
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kujiunga sua BVM

    Mkuuu Kuna vitu nilikuwa naomba umisaidie kuhusu bvm kama uko tayar plz
  8. T

    JamiiForums Tanzania Karibuni wote tujenge urafiki wa kudumu na kusaidiana

    Wazo zuri sana mkuu Naomba unitag pm
  9. T

    JamiiForums Tanzania Fumbo la maisha: Waziri Ummy meza kiburi, ombeni msaada kwa Mwele Malecela, WHO.

    Kwani ile zikaa aliyetangaza iko Wapiii !!!? Au mnasifiaa tu kwa sababu kachaguliwa ...!???
  10. T

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Msanii ukifanya Birthday bila kusaidia jamii nakuweka ndani!

    Ni kwel mkuu . Hawa wanahabari ni shida sana yaani Jamaa alikuwa anatania lakini Wao wameweka serious
  11. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada mwenye namba za lectures wa SUA, UDOM na UDSM

    Uliomba coz gani mkuu!?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Waliopata div two ya 11 na ya 12 wakakosa vyuo, lazima TCU ijitafakari

    Tatzo wenzao wamepiga div 1 Nyingi mno kias kwamba cis nyingi za science wameapata One tu
  13. T

    JamiiForums Tanzania SUA NINI MNACHOFANYA?

    Kuchukuliwa mmoja au wawili maana yake ndo nafasi iliyokuwa imebaki baada ya first selection, ammbazo hawajatoa maaana yake zilijaa tokaa awamu ya kwanza
  14. T

    JamiiForums Tanzania Anataka nini huyu mke wa mtu kuniambia mambo yake ambayo sipaswi kuyafahamu?

    Ivi apo kazini mnadeal na kazi gani.. Maana najarbu tu kufikiria iyo ni kazi gani inayofanywa na watu ambao hedhi ni kitu cha ajabu kwao..!?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu matatizo ya hardware kwenye laptop na desktop

    Kuna pc ,charger yake ilipoteaa ikipita mda kidogo kuipata nyingine kwani zilikuwaa hazipatikani kabisa apa , Kwaiyo niakaagiza nje nikaipata baada ya mda mrefu kidogo kupita .. Kwaiyo mda huo wote Ilikuwa pc haitumiki.. Lakini baada ya kuipata na kujarbu kuitumia ikawa haiwaki kabisa wakati...
Back
Top Bottom