wise boi
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 363
- 795
- Thread starter
- #21
Mkuu we ushamaliza....vipi kusu soko lake huko mtaani....Mkuu Hongera sana kwa kuchaguliwa kujiunga na chuo bora cha kilimo hapa Tanzania... Na karibu katika college yetu pendwa ya 'College of veterinary and Biomedical Science "........
Shule ya pale ndani ni kawaida sana incase kama umeenda kusoma kweli... but ukienda ukaanza kufunua sketi za kina dada shule ya mule ndani itakuwia vigumu sana.... But huwa na imani kubwa kama umeweza kuchaguliwa kwa kozi yetu pendwa basi upstairs uko vizuriii.....
Mimi binafsi nimemaliza iyo kozi na kwa uzoefu wangu shule ya mwaka wa kwanza ni hatari hapo inabidi u turn ur mind katika masomo mdogo wangu coz ukizembea tu sitoshangaa wewe kubeba mabegi na kurudi nyumbani baada ya mwaka wa masomo kuisha.... kuna masomo yanasumbua sana mwaka wa kwanza mfano comparative anatomy... biochemistry pamoja na histology.....
Kwa mwaka wa pili ni full bata... hapa utakula bata mpaka basi coz shule ni laini sijawahi ona.... mwaka wa 3 na mwaka 4 shule ya kibabe inarudi mziki wa hapa na mwaka 1 uko kama sawa hivi na ukizembea sitoshangaa wewe ku disco.... mwaka wa tano ndio bata kabisa hapo ni full kulala hapa nakuomba u turn your mind ukimaliza ukafanye mishe gani mtaani....coz life kwa sasa lime change kidogo coz uhitaji wa vet mtaani ume drop si kama zamani....
afu kama kawaida shule yetu inaendana na bata... kula bata kwa sana but not to that extent afu protocol yetu mule ndani vet wengi mademu zetu wengi huwa tunawatoa food science so hiyo chain msije ivunja madogo.....
wish u all the best dogo katika maisha yako mapya ya miaka 5 hapo sua... thou pia inaweza isiwe mitano ikawa miaka 6 or saba......
Kusu mademu kiukwel me sio mtu wa bata...hop ntaweza