Recent content by thinktank

  1. T

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    Chama kinachojiandaa kushika dola, inabidi wengine tujiandae kuhama hii dola
  2. T

    JamiiForums Tanzania Revealed: Jumuia ya Madaktari waliotharika na mgomo ndio hii

    Pro-Chadema hawawezi kufurahia maana mipango yao nikuchochea migomo ili nchi isitawalike bila kujali kama kuna watu wanapoteza maisha wala nini. Kwao kufikiwa kwa muafaka ni kinyume cha ajenda yao
  3. T

    JamiiForums Tanzania Revealed: Jumuia ya Madaktari waliotharika na mgomo ndio hii

    Ni kweli kaka, wengi walisukumwa na kisasi dhidi ya raisi
  4. T

    JamiiForums Tanzania Revealed: Jumuia ya Madaktari waliotharika na mgomo ndio hii

    Dawa za muhimbili zimeisha leo wewe. Ninapoongea saivi nina mgonjwa haa Muhimbili. Au mkubwa unaposti kutoka Ulaya. Hata kumuona daktari ni tiba ya kutosha kwa mgonjwa kaka. Tuacheni siasa kwa kila jambo.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Revealed: Jumuia ya Madaktari waliotharika na mgomo ndio hii

    Hizo ni propaganda tu ambazo haziwasaidii hawa vijana na hata taifa. Acha warudi wafanye kazi na wasaidie kutibu wagonjwa ambao wengi ni wenye kipato cha chini ambao hawan hata uwezo hata wa kupost hapa JF
  6. T

    JamiiForums Tanzania Revealed: Jumuia ya Madaktari waliotharika na mgomo ndio hii

    Na ni nani alikwambia lengo langu ni kufikiri. Hata kama ungekuwa na mantiki, haiwezekani kukawa na scenario mbili kwa wakati mmoja, kwamba mtu akawa hafifu wa kufikiri halafu awe hajawahi kufikiri. Nyie ndo mmeweka rehani fikra zenu kwa wenzenu
  7. T

    JamiiForums Tanzania Revealed: Jumuia ya Madaktari waliotharika na mgomo ndio hii

    langei Kila kitu kina mwisho wake. Nadhani wamechambua faida na hasara ya uamuzi wao na kubaini kuwa kuomba msaada ndiyo njia mwafaka ya kuendelea na maisha. Hao kina Slaa wenyewe waliowachachoea hawajawasidia hata senti. Hata mashabiki wa migomo hapa JF hawana msaada wowote kwao. Kumbuka hawa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Revealed: Jumuia ya Madaktari waliotharika na mgomo ndio hii

    Ni uamuzi wa busara. Mnaowachachoea kugoma nyie mmekaa na vibarua vyenu na mnaendelea na maisha yenu kama kawaida. Ni nani kati ya wana JF ameshafuatilia au hata kutoa msaada kwa hawa vijana wa vijana wa interns tangu wagome na kufukuzwa vibarua. Wote ni wanafiki mnasubiri kuja kuchangia JF...
  9. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA HATARI Inakuja TAZAMENI

    Kitovu cha taifa lolote ni taifa, huwezi kuparanganisha familia yako na ya mwingine pamoja na kutelekeza watoto halafu ukajidai unaipenda Tanzania. Hata hao watoto aliowatelekeza ni Watanzania vilevile na upendo wa kweli unatakiwa kuanzia nyumbani. Bado naona huyu jamaa ana mgogoro mkubwa wa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

    Kaka, kauli yako inapunguzwa nguvu na ile ya Rose anayedai kuwa mmewe katelekeza watoto. Vinginevyo utushawishi kuwa ndoa hiyo na malezi ya wale watoto unayafahamu kuliko mama yao mzazi
  11. T

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Jack Zoka yana utata!

    Mmejaribu kuandamana na kugoma mmeona bado nchi iko salama mmeamua kuhamishia mashambulizi yenu kwa vyombo vinavyosimamia usalama wa nchi yetu? Hamtafanikiwa kwa hila zenu
  12. T

    JamiiForums Tanzania Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

    Kuwa kiongozi au kada wa Chama haimaanishi kufa kwa dhamira yako na kuanza kutetea viongozi wako hata kama wamefanya makosa. Huu ni udhaifu na dalili mbaya sana. Hata kama Mandela au mtume alifanya hivyo haihalalishi kwa vyovyote tendo baya. Kiongozi anatakiwa awe mfano wa kuigwa asiyetiliwa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

    Na huyo aliyevuliwa joho na yeye hawezi kukwepa lawama ya ufuska
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kuhatarisha usalama wa Taifa? Give me a Break!

    Kazi ya usalama wa taifa ni usalama wa taifa, maswali mengine bhana.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Madaktari wenzangu: Only "Mass resignation" itawaamsha watawala!

    Wakiresign wanakomoa serikali au wagonjwa. Uchochezi mwngine hata hauna maslahi
Back
Top Bottom