kama kuna mzinifu anayemzidi kikwete mungu anichukue mchana kweupe:spy:
Kilichotokea leo kati ya Dr Slaa na Rose Kamili si chema kwa MUSTAKABALI wa chama so ni vizuri WANACHAMA muanze kufikiria hatima ya chama na mgombea URAISI. Nimefikiri hili vizuri nimebaini mwisho wa SLAA utakuwa kama akina MREMA na LIPUMBA nao walijikuta katika kashfa kama hizo. Dr Slaa amezidi kidogo kwa kuwa amezini na rose kamili then amekuja kuzini na mushumbuzi huku akiwa ni Padri.Najua kuna kuteleza ila slaa alizidi.
So nashauiri tufikirie tuanze kujipanga kwa MGOMBEA URAIS ili tuanze kumshape huyo mgombea wetu mapema.Tukiendelea kumfikiria slaa ni kuendelea kupunguza kura 2015 kwani hataongeza kura tena bali zitapungua. Ni UKWELI usiopingika kwamba hakuna mtu asiyejua UJASIRI wa slaa lakini kwa sasa no way.
Pia ili kuondoa DHANA ya kukifanya chama kionekane cha kikatoliki kutokana na slaa kuwa PADRE.Mimi ni mkristo nisingependa nitawaliwe na SHEHE au MUFTI so hata WAISLAMU hawatajisikia vizuri kuongozwa na PADRE so ili kuepusha tafsiri kama hizo nashauri TUNDU LISU au ZITO KABWE waandaliwe kushika wajibu huo mapema kwani wao hawajawahi kuwa VIONGOZI WA KIDINI hivyo watakubalika na pande zote WAISLAM na WAKRISTO.
Ni vizuri tujue kwamba baada ya UCHAGUZI UJAO KAMA Chadema hakitashinda kitakachofuata ni MIGOGORO NA KUSAMBARATIKA REJEA NCCR na CUF. CHAMA kikishafika kileleni-piki kisipopata USHINDI kinaanza kuandamwa na mizozo so tujiandae.Mungu ibariki CHADEMA.