Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

Status
Not open for further replies.
Juliana , vipi kikao chako wewe , MArtine Shigela , Eddo MAkata , GWakisa, MWampamba na Mchange juzi jumamosi kilichofanyika Sinza na kuendelea jumapili LUnch time hoteli? Huko ulitumwa na Bavicha?

Vipi kuhusu wewe na Getrudi KOkukwenda kuishi nyumbani kwa Mwigulu Dodoma wakati wa vikao vya Bunge la bajeti mwaka huu? Ulikuwa umetumwa na Bavicha?

Umeendeleza ushahidi kuhusiana na maneno ya Ben kuwa mlikubaliana kuwatenganisha viongozi wakuu yaani Mbowe na Dr.SLaa , na hapa umeendeleza kuwa mbaya wako ni Dr.SLaa , huyu anahusika vipi na Bavicha?

Vipi kuhusu kauli yako ya kumtetea Shibuda , na kupingana na Mwenyekiti wako , sakata la kuchunguzwa limeisha ama laa,

Naijua Intelijensia ya CDM kwa kweli ni hatari , mmeshikwa pabaya , chutama mtoto wa kike uko uchi...........,,,

Aidha, naona umeandikiwa ama na Mwampamba kwani paragrafu tatu za kwanza zinafanana na alichoandika Mwampamba katika utetezi wake , mko wote ? Hakika hufai hata kuwa mwenyekiti wa msingi kama akili zako ni za kushikiwa kiasi hicho.........

Safari yenu ya kwenda nje ya DSm lini? ........
Mkuu Haki sawa hapo unamaanisha kwenda kwa kina Kinjeketile? aisee mbona wamekamatiwa pabaya
 
Last edited by a moderator:
Kumbe nyie watu mna akili za kitoto sana.

Yaani kabisa mmeshindwa kuyamaliza huko kwenye lichama lenu hadi na sasa mmeamua kuja kuanika udhaifu wenu hapa?

Wajinga wa mwisho kabisa nyie.

Watalimalizaje kama kumbe ata Babu yao nae ana akili za kitoto?Dr Slaa hana uwezo wa kuongoza watu.
 
huyu Dr Slaa ambaye CCM zaidi ya miaka 20 wameshindwa kumshinda anakuhujumu wewe Shonza kwa uwezo upi hasa, shida inayokuja hapa hakuna anayejielezea yeye zaidi ya wote kuunganikia kwa ZZK na kumtetea amewapa nini huyo au ndo vile viapo mlivyokula?
 
Hata siku moja Sikio halitaka lizidi kichwa,so wewe Juliana & co mnatumika bure sana,Slaa yupo Moyoni mwa watanzanian ww nani anakujua?
 
Juliana , vipi kikao chako wewe , MArtine Shigela , Eddo MAkata , GWakisa, MWampamba na Mchange juzi jumamosi kilichofanyika Sinza na kuendelea jumapili LUnch time hoteli? Huko ulitumwa na Bavicha?

Vipi kuhusu wewe na Getrudi KOkukwenda kuishi nyumbani kwa Mwigulu Dodoma wakati wa vikao vya Bunge la bajeti mwaka huu? Ulikuwa umetumwa na Bavicha?

Umeendeleza ushahidi kuhusiana na maneno ya Ben kuwa mlikubaliana kuwatenganisha viongozi wakuu yaani Mbowe na Dr.SLaa , na hapa umeendeleza kuwa mbaya wako ni Dr.SLaa , huyu anahusika vipi na Bavicha?

Vipi kuhusu kauli yako ya kumtetea Shibuda , na kupingana na Mwenyekiti wako , sakata la kuchunguzwa limeisha ama laa,

Naijua Intelijensia ya CDM kwa kweli ni hatari , mmeshikwa pabaya , chutama mtoto wa kike uko uchi...........,,,

Aidha, naona umeandikiwa ama na Mwampamba kwani paragrafu tatu za kwanza zinafanana na alichoandika Mwampamba katika utetezi wake , mko wote ? Hakika hufai hata kuwa mwenyekiti wa msingi kama akili zako ni za kushikiwa kiasi hicho.........

Safari yenu ya kwenda nje ya DSm lini? ........

Umejitahidi kutunga ili kumsafisha mhujumu wa chama,Julina mbona yupo kigoma wiki pa pili sasa.
 
Mkuu hii ni ishara mbaya kwa nchi, tujaribu kuitazama Tanzania miaka mingi mbele, kwa mfano Tanzania baada ya miaka 20. Hawa ndio vijana, wanasiasa ambao baadhi yao watakuwa kwenye utawala, kwenye sehemu za maamuzi, je tutegemea nini kutoka kwenye kizazi kinachowakilishwa na kundi hili!?
 
Vijana wa CHADEMA tume-prove namna ambavyo ni wajinga, washenzi, wapuuzi na tusiokuwa na akili. Very stupid, sijui huu upuuzi wa kuanzisha thread humo JF ni kwa manufaa ya nani. Yani mimi hawa wote ni wapuuzi, washenzi, wajinga..hivi manapoweka huu upuuzi kwenye public ni kwa maslahi ya nani? Pumbavu zenu!!

mkuu hawa sio vijana wa chadema bali ni masalia ya mafisadi ndani ya chadema.sasa yanpukutishwa ile mbaya.

yaelekea Ben Saanane ni hero mpaka sasa,hebu angalia waliomjibu
Juliana Mchange Mwampamba Zitto

na wote hawajajibu hoja sana sana wameendeleza kile walichoshutumiwa nacho...matusi,kejeli dhidi ya chadema na viongozi wake.
 
Last edited by a moderator:
Binti,

1. Ulishawahi kuwa mwanachama wa PM7? Ulijiunga lini, na kwa sababu zipi?

2. Bado wewe ni mwanchama wa PM7? Kama jibu ni hapana, uliondoka lini na kwa sababu gani?

3. Kwa mtazamo wako, PM7 ilikusudia kujecha CHADEMA au kudhoofisha?

4. PM7 bado ipo hai, na wanachama wake ni wepi? Ni lini mara ya mwisho kukutana na maazimio yakoje?

5. Dr Slaa (japo wewe umetumia ndg Slaa mara kadhaa) hajaandika chochote hapa JF kuhusu wewe, hoja zote hapa kwa siku hizi chache zitoka kwenye ninyi vijana wa BAVICHA. Ni kwanini umeona ni busara kuleta tuhuma hapa JF- dhidi ya Dr Slaa- badala ya kusubiri utaratibu wa chama? Tayari umesema umepeleka madai yako kwa mwenyekiti tarehe 10 DEC 2012. Sasa kwa nini umeleta haya madai hapa wakati mashauri yako kwa mwenyekiti?

7. Kwanini watu wakuamini wewe na madai yako na sio 'wabaya' wako? Mfano, kwanini watu wakuamini wewe, na sio Ben Saanane?

8.Sijui umri wako, lakini niseme Dr Slaa amekuwa mwana -CHADEMA kwa zaidi ya miaka 15, infact amekuwa mbunge kwa miongo 3 kupitia CHADEMA. Watanzania wanajua CHADEMA ya miaka 15 iliyopita na CHADEMA ya leo. Kati yako na Dr Slaa, nani katoa mchango mkumbwa kukifisha hiki chama hapa kilipo?

9. Kwa mawazo yako, unadhani ni kwanini Dr Slaa anakuhujumu wewe? Hasa kama unakipigania chama, kwanini akuhujumu?
 
Hawa virus wafukuzwe mara moja wahamie CUF au CCM huko wanakolea watovu wa nidhamu.
 
alianza Mamuya, akaja Zitto, akaja, Ben, akaja Mchange, akaja Mwampamba na sasa ni Juliana bado Nyakarungu ana akina Kisandu
 
Juliana , vipi kikao chako wewe , MArtine Shigela , Eddo MAkata , GWakisa, MWampamba na Mchange juzi jumamosi kilichofanyika Sinza na kuendelea jumapili LUnch time hoteli? Huko ulitumwa na Bavicha?

Vipi kuhusu wewe na Getrudi KOkukwenda kuishi nyumbani kwa Mwigulu Dodoma wakati wa vikao vya Bunge la bajeti mwaka huu? Ulikuwa umetumwa na Bavicha?

Umeendeleza ushahidi kuhusiana na maneno ya Ben kuwa mlikubaliana kuwatenganisha viongozi wakuu yaani Mbowe na Dr.SLaa , na hapa umeendeleza kuwa mbaya wako ni Dr.SLaa , huyu anahusika vipi na Bavicha?

Vipi kuhusu kauli yako ya kumtetea Shibuda , na kupingana na Mwenyekiti wako , sakata la kuchunguzwa limeisha ama laa,

Naijua Intelijensia ya CDM kwa kweli ni hatari , mmeshikwa pabaya , chutama mtoto wa kike uko uchi...........,,,

Aidha, naona umeandikiwa ama na Mwampamba kwani paragrafu tatu za kwanza zinafanana na alichoandika Mwampamba katika utetezi wake , mko wote ? Hakika hufai hata kuwa mwenyekiti wa msingi kama akili zako ni za kushikiwa kiasi hicho.........

Safari yenu ya kwenda nje ya DSm lini? ........
Haki sawa wala usipate shida saaaana manake kama wanamwaga mboga basi watu wenye akili zao watamwaga ugali. kimsingi Juliana Shonza hakupaswa kuwa makamu mwenyekiti manake kwa wadhifa wake kwanza kabisa hakupaswa kuja kuanika haya hapa badala ya kwenda nayo kwenye sekretarieti ya maadili ya chama ili kushtaki.

sioni sababu ya yeye kuja kwenye hili jamvi kuanza kufunguka kwa staili hii ili hali tayari amesha mwandikia katibu mkuu Mhe Mbowe juu ya hali hii na hapa anasubiri majibu. kwa kufanya hivi ni kama vile hana imani na majiabu ya mwenyekiti wa chama.

istoshe jamani kumbuken hakuna kitu kibaya kama media, inaweza kukukuza ukitumia kwa akili ama kukuua kabisa usipoitumia vyema. ni majuzi tu hapa CDM imepata kukua kiasi cha kuweza kufungua matawi hadi nje ya nci lkn kwa staili hii huoni kwamba mnafifisha nguvu za wenzenu walizotumia katika haya??

sikumwona huyu juliana ama kundi lake wakiwa wana jumuika katika kukikuza chama hata zitto mwenyewe hajawah kuonekana ktk m4C lkn leo hii nguvu za wenzenu mnazififisha pasi hata kufikiri kwa mara ya pili. wakati M4C inafanyika zitto ulikuwa unakula bata na mkuu wa kaya haya leo hii chama kimepata kusimama unataka kuharibu reputation yake kweli are you serious??

sikatai yumkini kuna makosa ambayo ulifanyiwa kwann usingefwata njia mahususi katika utatuzi wa jambo lako kuliko hiii?? wewe juliana ningekuona wa maana kama ungekuja na majibu ulopewa na mhe mbowe baada ya kusubmit malalamiko yako kwake huo mwez wa kumi. lkn haya unayotuletea sisi ambao kimsingi si wasemaji wala watoa maamuzi ya chama unamaanisha nn?/

kwangu mm ingawa si mwanasiasa naweza kuiita mbinu hii kama mbinu chafu za kuangamiza chama na viongozi wake and mind you ni INACHUKUA SEKUNDE MOJA KUHARIBU NETWORK ULIYONAYO LKN INACHUKUA MIAKA KUIRUDISHA TENA NETWORK IYO.

NAOMBA NIWE MTAZAMAJI TU KWA SASA ILA KAMA MNA MASKIO SIKIENI ACHENI UTOTO NA UMBUMBUMBU.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hii ni ishara mbaya kwa nchi, tujaribu kuitazama Tanzania miaka mingi mbele, kwa mfano Tanzania baada ya miaka 20. Hawa ndio vijana, wanasiasa ambao baadhi yao watakuwa kwenye utawala, kwenye sehemu za maamuzi, je tutegemea nini kutoka kwenye kizazi kinachowakilishwa na kundi hili!?

Hawawezi kupata nafasi hiyo, wanajimaliza kisiasa mwaka ujao tu.
 
Umejitahidi kutunga ili kumsafisha mhujumu wa chama,Julina mbona yupo kigoma wiki pa pili sasa.
Kaolewa huko au kaenda kuzikwa makaburi na Zitto matunguri ya mkolee,JUliana hana nyimbo anathibitisha tu zaidi kwamba katumika kama kondomu katupwa ha ha Juliana kabla ya thelathini na tano siasa tena basi huna merit
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom