Usijali na usivunjike moyo ndugu, ipo siku utafaulu tu na inaweza ikawa ndio oral yako ya kwanza na ya mwisho. kikubwa jiandae vizuri na Muombe Mungu naamini utavuka hiyo hatua.
inategemeana na wameambiwa wakareport kazini lini, hivyo inawezekana kazi wakaanza July na mshahara wa July wakapata kutegemeana na taasisi walikopangiwa.
Ndugu yangu pole sana kwa kutapeliwa, inawezekana ulipanic ndio maana ukashindwa kuona kuwa barua hiyo ina mapungufu mengi na sio ya Utumishi. kikubwa jitahidi sana kuwa makini na vitu kama hivi, mara nyingi tunaambiwa kuwa hakuna utaratibu wa kutoa hela ili usaidiwe changamoto zako.
Kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.