Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

SIMULIZI BORA YA MUDA WOTE HAPA JAMII FORUM.
Bado hajamaliza simulizi za Patrick ck.. utapata uraibu sana
Cheki na hizi pia.
1.Jasusi Gaidi - utamkuta Peniela pia humo.
2.Mathew Mulumbi - utamkuta Peniela huko.
3.Melanie Chuma - utamkuta Mathew na Peniela wake huko
4. Ambola
5.Siri n.k

Utazidiwa na utamu, ngoja nikuwekee Ambola part 1 hapa
 
Utazidiwa na utamu, ngoja nikuwekee Ambola season 1 hapa
 
Attachments

Bado hajamaliza simulizi za Patrick ck.. utapata uraibu sana
Cheki na hizi pia.
1.Jasusi Gaidi - utamkuta Peniela pia humo.
2.Mathew Mulumbi - utamkuta Peniela huko.
3.Melanie Chuma - utamkuta Mathew na Peniela wake huko
4. Ambola
5.Siri n.k

Utazidiwa na utamu, ngoja nikuwekee Ambola part 1 hapa
Siri nimeisoma pia mkuu.
Ni kali mno nilikesha siku 3 usiku na Mchana kuisoma siri.
 
1.Peniela(Patrick Ck).
Hii itabaki kuwa story yangu pendwa namba Moja ya Wakati wote.

2. Siri (patric ck)

3.Vipepeo weusi(Habib Anga)

4. Anga la washenzi ( molelli)

5.Tai kwenye mzoga(kevin Mponda.
Hizo nimesoma,ongezea tano zingine
 
Back
Top Bottom