HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kunani tena huko? Ajira wamerudisha TRA kwani? Hiki kitakuwa kilio cha kusaga meno..
Asee pamoja na kwamba psrs wanachelewesha kutoa placement Ila wako fair sana kwa kiasi chake, hawakua na upendeleo ukipata umepata kihalali, sasa icho kitakachokwenda kutokea uko taasisi zikiendesha usaili zenyewe dah Mungu aliwekee mkono Ilo sijui itakuwaje, naona mapicha picha tu
 
Sifa mojawapo ya intellect ni kuchukua muda wake kujiridhisha na taarifa husika kabla hajajenga hoja.

Alternatively, unaweza kuuliza ili kupata taarifa sahihi.
Naona kauli ya Namba Moja imeshachukua nafasi! Hapo sasa tutaona Taasisi mbalimbali zinaanza kuchukua watu wao! Imeisha hiyo..
 
Sifa mojawapo ya intellect ni kuchukua muda wake kujiridhisha na taarifa husika kabla hajajenga hoja.

Alternatively, unaweza kuuliza ili kupata taarifa sahihi.
Ndugu hilo tangazo sikuliona ila sasa nimeingia kwenye webyao nimeliona lakin pia hata hilo la saccos wametoa leo
 
Ama kweli Intern wote wanaenda kupata kazi...
Kaka sikulifungua hili tangazo . Maana kabla ya kuingia humu nimetoka kusoma tangazo la kazi la TRA Saccos nikajua ndio hilo ila baada ya kuingia kwa web yao nimeliona kaka, ila mambo yashakuwa magumu. Bila shaka usili wa mchujo utafanyikia taifa [emoji3][emoji3][emoji3] na chakushangaza watakaoenda oral zitakuwa ni sura mpya kabisa ....utani tu jamani sio kweli
 
Kama ni kweli, naamini wataalamu wa TRA watalishughulikia, tofauti na hapo mamlaka imeanza kujitia dosari ya kusimamia hili zoezi mwanzoni kabisa.
 
Yaani huu mchakato wa ajira bora ungebaki PSRS kwasababu sekretalieti ya ajira ukifanikiwa kuingia oral unaweza baki database pindi taasisi nyingine itakapohitaji watu wenye sifa yako unaweza bahatika , sasa taasisi zikiajiri zenyewe hata ukipata juu ya 50 kwenye usaili wa oral hakuna database, anyway ngoja tuone itakuwaje.
 
Ni kweli kabisa psrs wangeboreshewa na mapungufu yao yangepunguzwa ili waendelee na mchakato wao kwani uko fair sana, ila kwa kuwa kauli ya Raisi ni sheria naona ndio inaanza kutekelezwa
 
Yaani huu mchakato wa ajira bora ungebaki PSRS kwasababu sekretalieti ya ajira ukifanikiwa kuingia oral unaweza baki database pindi taasisi nyingine itakapohitaji watu wenye sifa yako unaweza bahatika , sasa taasisi zikiajiri zenyewe hata ukipata juu ya 50 kwenye usaili wa oral hakuna database, anyway ngoja tuone itakuwaje.
Tuliposema humu tukawa tunabatizwa nicknames, kauli zetu zitakumbukwa.

Kikubwa sisi hatuachi kuwatakieni Kila la kheri kwenye kila jambo jema la mapambano
 
Back
Top Bottom