Recent content by thiago 3

  1. thiago 3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukifanya haya mumeo hakuachi ng'o

    Hayo yote ni sawa ila huo upuuzi wa kuvuliwa viatu na sijui wa kulishwa, mimi huwa sishibi aisee. Nataka mwanamke mwenye haiba ya kike na akili ya maendeleo.
  2. thiago 3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa na mwanamke mdokozi dawa yake ni nini?

    Piga chini jini nyonya damu hilo brother.
  3. thiago 3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua anachepuka, nasitisha huduma zote kwake

    Usimwache muonye kwanza na mwambie achague kuwa na wewe au wao au kila mmoja ajue maisha yake.
  4. thiago 3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba ovyo

    Umeandika mambo mengi mno ila hapo ulipoandika (KATIKA MAISHA KUNA CLASS, TAMBUA CLASS YAKO), hapa umeandika ukweli mtupu. Ila nakushauri wewe ndo ujue class yako kwanza maana sijawahi kuona mtu mwenye awkward thinking capacity kama wewe humu. Unaringa kama haunyi vile. Tumia akili next time...
  5. thiago 3

    JamiiForums Tanzania Shibuda atakuwa ameelewa, kwamba chama ni zaidi ya mtu

    Shibuda, the politician I ever seen in my life.
  6. thiago 3

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Dk. Joyce Ndalichako viva mama piga kazi sasa hapo.
  7. thiago 3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi baharini

    Dah humu kuna mada za kufikirika kama fly over kujengwa simiyu.
  8. thiago 3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mtoto mmoja na yeye, anakuja kumuona bila taarifa

    Nahisi kudanganywa hapa.
  9. thiago 3

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo kama ni speed basi anatumia mtandao wa 4G

    simu umeiamini sana eeh? Endelea kuamini simu waache wasioamini simu wachape kazi.
  10. thiago 3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi suala la kujamba ukiwa na mpenzi wako lina umuhimu katika mapenzi?

    Jamba baba na ikibidi kunya kabisa kuhalalisha tendo hilo.
  11. thiago 3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumeshindwa kuoana kwa tofauti ya dini, utatuzi ni nini hapa?

  12. thiago 3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Almanusura niolewe hotelini, mke wa mtu sumu

    Ungeolewa usingekuja kutuambia hapa. Wanaume bhana
  13. thiago 3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Sijui huyu mzungu atanikubali?

    Yaani kufukuzia mwanamke mpaka shughuli za misiba, harusi hauhudhurii, je ungemuoa si hata kufa ungekataa? Endelea kutohudhuria misiba na harusi atakuonea huruma.
  14. thiago 3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke unapomwambia unampenda anakujibu "ahsante"

    Ingia dirisha dogo kwa usajili.
  15. thiago 3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wa mama mdogo ananirubuni anioe, nifanyeje?

    Olewa halafu jiandae kutongozwa na babu yako nako utaolewa tena. Kibwengo wewe acha tamaa za kipuuzi rungu limkune mama ako na wewe unalitaka tena? Nenda gereji ya akili
Back
Top Bottom