Ukifanya haya mumeo hakuachi ng'o

Ukifanya haya mumeo hakuachi ng'o

Labda sio wanaume sisi ambao kanuni yetu ya kwanza ni kweda vice versa tuko radhi tuache kilichopikwa na wake zetu tena kizuri tukaenda kula vibandani na wadudu nuka ilimradi tafrani kama tumerogwa.
 
Hapa kazi tu,mwingine bahili hta mood wa kufanya hivyo watoa wapi[emoji32]
 
Habari wadada zangu,

Napenda niwape somo kidogo mpe mumeo au mpenzi wako mambo haya 3;

1. Muheshimu na umjali mfano kumpokea akirudi job kumvua viatu kumlisha jitahidi sana mara nyingi ule chakula na mumeo hasa usiku mpikie atakacho msizoee kula kwa mama ntilie au chips pia jali marafiki zake na ndugu zake.

2 Muweke wazi unachopenda akufanyie na pia uwe unamuweka smat hata kumpangia nguo za kuvaa kumuogesha kumpunguza ndevu na kumnyoa nywele sehemu za siri na kwapani.

3. Mume hurogwa na kitanda japo kila shimo na utamu wake hangaika dada usiwe gogo ikiwa raha nyingi unapata wewe muambie unachotaka mpe kila kitu kasoro tigo tu naamini kwa hayo ebu fafanua kichwani mwako kisha fanya ukiachwa nitakuoa mimi.


Tanga Raha

By Abuuabdillah
Wanaume wamejawa na tamaa
 
Hayo yote ni sawa ila huo upuuzi wa kuvuliwa viatu na sijui wa kulishwa, mimi huwa sishibi aisee. Nataka mwanamke mwenye haiba ya kike na akili ya maendeleo.
 
Back
Top Bottom