Ukiwa na mwanamke mdokozi dawa yake ni nini?

Ukiwa na mwanamke mdokozi dawa yake ni nini?

Hafai huyo piga chini, kama umeshazaa nae itakuwa shughuli pevu kweli kweli..
 
Mvizie kwa kumtegea security cameras na ukimkamata kamshitaki na ikibidi peleka mahakamani au ukimfumania anaiba mpigie kelele za mwizi.
 
Huyo Mke wa jamaa yako si mdokozi ana ugonjwa lakini kwa bahati mbaya nimeusahau jina.

Hao huiba hata vitu wasivyovihitaji. Kuna Mwanasaikolojia mmoja alisema raha anayoipata Mtu wa aina hiyo baada ya kuiba ni sawa na raha anayoipata akifika kileleni kwenye ngono.
Nimetafuta sana hii nimekosa
 
Back
Top Bottom