Recent content by Theunknown

  1. T

    JamiiForums Tanzania TIGOPESA/Mixx by Yas huu ni wizi? Au kutojali wateja wenu?

    Mitandao ya simu pamoja na kurahisisha mawasiliano imekuwa njia rahisi sana ya kutumia na kupokea pesa, na kukiwa na jambo la dharula basi muamala ya simu inatoa suluhu ya haraka sana. Kwangu imekuwa tofauti, ilikuwa tarehe 22/12/2024, saa 2:38 asubuhi, nilienda kwa wakala kutoa pesa...
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

    Mkuu statement yako ya mwisho hapo inafanya nisikushauri chochote! Ilinitokea mke wangu alikuwa mkoani mimi nikiendelea kupambana mjini, nalipa bills, nalipa ada za watoto (2), Siku moja alipata safari kikazi kwenda Singida, alikas kule zaidi ya wiki, Wakati wa kurudi tulikuwa tunawasiliana...
  3. T

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO mnafanya kazi nzuri na hongereni, lakini Kuna mambo yanashangaza kweli, Milani Morogoro, kata ya Mkundi, mtaa wa mawasiliano, mumeleta umeme, a couple of weeks, wateja wengi wamehitaji umeme, ajabu wamefikishiwa wachache tu kwa madai kwamba "NGUZO HAZIPO" yaani watu wa block Moja, wapo...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Waliochomwa moto Handeni: Ni uhalifu au kisasi?

    Wakati mwingine sio LAZIMA useme Kila kitu!
  5. T

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Mahakama Kuu yamhukumu kunyongwa hadi kufa Mwalimu aliyemuua mwanafunzi kwa kipigo

    Hahahaaaa!!!!!! Nacheka kama mazuri,lakini "usifikiri watanzania ni wajinga"-JPM, Mkuu aliyemfyatulia risasi Daudi Mwangosi,alifahamika kwa majina,unakumbuka hukumu yake??? Aliyemuua Akwilina Akwilin kweli tulishindwa kumbaini ilhali ganda la risasi eneo la tukio lilipatikana,kwa uelewa...
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtafuta Daudi kusekwa wangu

    Haya bhana,wasalimie sana Dodoma!
  7. T

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Mahakama Kuu yamhukumu kunyongwa hadi kufa Mwalimu aliyemuua mwanafunzi kwa kipigo

    Ingekuwa poa sana kama wangekuwa wanawaadibu hivi na wale wengine,(waliompiga risasi Akwilina,Waliomlipua na kumsambaratisha David Mwangosi vipande vipande,Waliowapiga risasi wananchi wenzetu na polisi wetu kule Mkuranga na Kibiti,Waliomchoma visu na kumuua mdogo wake HECHE,waliomcharaza risasi...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    Mwenye ID ya Dr.Slaa tafadhali amtag,tumwite hapa tumuulize maswali Tuliambiwa na CCM ya akina Nape,kwamba Lowassa,Rostam na Chenge ni wezi na mafisadi wakubwa, Upinzani nao wakaukomalia wimbo wa ufisadi na ukawapa mafanikio makubwa! Siku alipohamia Upinzani (mzee Lowassa),upepo wa matusi...
  9. T

    JamiiForums Tanzania BoT: Kufungwa kwa maduka ya fedha ya kigeni Dar ni zoezi endelevu, wafanyabiashara walalamika kinyang'anywa fedha, camera na nyaraka

    Uko sahihi mkuu,lakini maswali magumu yanapita kichwani, Hivi haya maduka yaliwezaje kuanza shughuli zao za kibiashara? Je, hawajasajiliwa?kama wamesajiliwa walisajiliwaje pasipo kufuata taratibu? kama walifuata na walikuwa wqanalipa kodi?kama ndiyo wamefanya kazi hiyo kwa muda gani? Kama kuna...
  10. T

    JamiiForums Tanzania UDSM mnaharibu future za wadogo zetu.

    Mbona course woks zenyewe hazionekani sasa
  11. T

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Wafanyakazi tisa wa LTSP[Wizara ya ardhi], wafariki kwenye ajali Kilombero

    Duuh kipande cha barabara ya Mikumi Ifakara mpaka Mahenge ni janga kwa kweli, mabasi yanavyotungua sasa utadhani ni lami, kuna siku nilikuwa na Kidinilo bus,aisee jamaa anatembea very rough!!! Halafu ukilalamika ndo kwaaaanza anaongeza speed!!
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekosea wapi

    Coco Bella, bado haujapata mume tu?? Uliweka bayana kuwa unataka wanaymwezi au Sukuma!! Huyo ni kabila gani alibahatika kukumiliki, na kila neno lako kwake likawa sheria! Wanawake aina ya Coco bella wapo wengi sana, mnachosahau ni kwamba Men are very intelligent when comes to relationship...
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa ndoa anaposema maneno haya anamanisha nini ?

    Hizo dalili za mtu kupigwa sumu Kali!!!
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu msichana ataniua hakika

    Huyu lazima yupo Yudizm! Kwa mwandiko wake na trend ya matukio,ni hakika yupo hapo! Lakini kubwa zaidi tumshauri ampe hela nyingi,anazopewa nyumbani ampelekee,na boom lake lote ampe tu!!!! Halafu aendelee kumuogopa hivyo hivyo!!!
Back
Top Bottom