UDSM mnaharibu future za wadogo zetu.

UDSM mnaharibu future za wadogo zetu.

ni kwamba huoni hizo incomplete mkuu,ni kwamba kwa sheria za vyuo vikuu,hao watu wote wenye incomplete wanatakiwa kudisco,sasa huoni kama hiyo idadi ni kubwa sana kwa hao vijana kudisco?
Incomplete ni mtu ambaye hakufanya au kukusanya test au assignment, jiulize kwa nini hawakufanya kazi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mara mia umasikini wa mali kuliko umasikini wa akili.
 
Hizo Incomplete mleta uzi unazilalamikia kinamna gani? Sijaelewa binafsi
 
Check haya matokeo ya course works za hawa vijana wa mwaka wa kwanza pale udbs uone jinsi hiki chuo kikongwe kinavyotumika kuharibu future za wadogo zetu.hizi ni course works za accounting na finance tu.
Ndugu, jiridhishe kwanza na taratibu za chuo kabla ya kuweka taarifa hizi hapa. Si mahala pake. Hizi ni taarifa kati ya mwalimu na mwanafunzi wake.

Utaratibu wa kupata CW una mgawanyo mkubwa, ikiwemo majaribio na mazoezi. Ukisoma mwongozo wa chuo, ili mwanafunzi apate sifa za kufanya mtihani wa mwisho, ni lazima awe amefanya hayo majaribio na zoezi yote kulingana na kozi, na pia nawe na alama zisizopungua kiasi fulani. Kwa kozi nyingi ni 16 kati ya 40.

Sasa, endapo wanafunzi alishiriki/alifanya vitu viwili tu kati ya vitatu, atawekewa incomplete hata kama alama zake ni 16+. Kama ana maksi chini ya 16, nayo ni incomplete.

Lengo la kuweka hizo CW hadharani ni kutoa taarifa na kuwakumbusha hao wanafunzi wenye incomplete, huenda alifanya test ila mwalimu kwa namna moja au nyingine hakujaza alama, basi atapeleka na hiyo test na alama zitajazwa.

Kama wakati wenzie wanafanya test, yeye alienda kwa demu wake, aliporudi akadanganya kuwa alikuwa anaumwa, akaambiwa alete docs za hospitali na akashindwa, basi incomplete inamhusu. Na huenda akapata adhabu kubwa zaidi kadiri prospectus inavyoelekeza.
 
Check haya matokeo ya course works za hawa vijana wa mwaka wa kwanza pale udbs uone jinsi hiki chuo kikongwe kinavyotumika kuharibu future za wadogo zetu.hizi ni course works za accounting na finance tu.
Mbona course woks zenyewe hazionekani sasa
 
Nilivyomuelrwa mimi incomplete hupelrkea mtu kudisco.7.8 sipplimentary inamuandama.Naomba mmuelewe mleta mada.
 
Back
Top Bottom