Nimekosea wapi

Nimekosea wapi

Coco Bella, bado haujapata mume tu??
Uliweka bayana kuwa unataka wanaymwezi au Sukuma!!
Huyo ni kabila gani alibahatika kukumiliki, na kila neno lako kwake likawa sheria!

Wanawake aina ya Coco bella wapo wengi sana, mnachosahau ni kwamba Men are very intelligent when comes to relationship matters,wapo ambao wanakuja wakiwa very innocent lakini wakiwa na specific target! NA WAKIPANIA THEY NEVER MISS THE TARGET, hata akipewa bullet moja pekee jua hatakukosa!!

Kwa ushauri mahsusi, ukiona njemba imekuja kichwa chini, everything you prose he says YES! keep in mind he is taking you in his empire, ukishajaa atakupiga pigo takatifu ambalo hautasahau! mwanaume yeyote mwenye nia njema hawezi kuwa ndiyo mama kwa kila kitu, he will be very real kuhakikisha kwamba unakuwa vile anavyotaka uwe,( hii ni kutokana na social construction katika jamii zetu,kwamba mwanaume ndiyo hupenda mkewe aweje) wanawake wengi wanapenda kuwa vile waume wao wanataka, si jambo rahisi kukuta mwanaume anakuwa vile mkewe anataka awe!

Cocobella I am telling you openly, mimi si nabii but kwa uelewa wangu katika mazingira hayo, you are in a process of creating the sad thread, it the matter of time!

Sikutishi, but watch out!!!
 
Ulipokosea ni hapo pa JAY MOO,jamaa akafikiria inawezekana mlikua na ukaribu wa hali ya juu kiasi kwamba uchukie mpaka nyimbo zake,yani ishu imeonekana too personal,na atakua kakuona wewe ni mtu wa starehe sana mpaka unashinda na kina MO TEKNIK...na kama unavyojua watu wengi wanavyowachukulia hawa wasanii wetu kua wako active kwenye maswala ya kuchezea wanawake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka hapo MO TEKNIK
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom