Namtafuta Daudi kusekwa wangu

Binasfi huwa nashangaa wanawake wanao tafuta wanaume kwenye mitandao hasa humu jamiiforums, dharau zimejaa humu.
Mitandao jamii ina faida na hasara.

Ukitaka ufaidike kimahusiano ni lazma utumie muda mwingi kuwaelewa watu sana .. Hii ya matangazo, mara nyingi wahanga wamekua ni wanawake !!.
 
Habari za jioni wapendwa wana jamii foramu
Naamini mu wazima
Mimi si mgeni jamii forum ni mfuatiliaji wa mada mbali mbali japo naingiaga Kama guest user, baada ya kusoma visa na mikasa mingi leo rasmi nimeamua kutengeneza akaunti kwa lengo moja tu la kutafuta mwenzi wa maisha kama second chance.

Kwa wale mlioowa na kuolewa na bado mkadumu katika ndoa Mungu awabariki na awazidishie upendo milele.
Niliolewa kabisaa lakini kuna mambo mazito hasa yalinikumba ndoa ikavunjika baada ya uwezekano wa kurekebishika ulipogonga mwamba.

Kwa muda wote niliokaa peke yangu nimetafakari kwa kina sana na kuamua kutafuta mwanaume ambaye anaweza kunipenda iili baadaye awe mume.

Sifa zangu
-Ni mdada naejituma, mcha Mungu na naejiheshimu
-Ni msomi na najiweza kiuchumi
-Umri wangu upo chini ya miaka 30
-Umri wa utoto na kurukaruka ulishapita, najielewa na najua nachokitaka.
-Nina mtoto mmoja

Sifa za mwanaume
-Awe Mkristo asiyetumia pombe
-Awe asiyependa anasa (sipo tayari kusex naye hadi hapo tutakapo weka kiapo)
-Mwenye uthubutu katika mambo ya maendeleo ( asiye amini sana masuala ya kuajiriwa zaidi sana awe na malengo ya kujiajiri mana matajiri wengi ni wale waliojiajiri)
-Mchapakazi mchapakazi mchapakazi
-Awe amekomaa kiakili, asiwe toz mvaa milegezo na ambaye bado anataka kurukaruka na vibinti
-mwenye upendo sana, kuheshimu na kujali utu.

Huyu namkaribisha tuwe marafiki wenye malengo

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatafuta uzinzi huku jamii forum???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shake before use,sifa hizo zote ninazo ila lazima nikukule kwanza halafu hayo mengine ndio yafuate,nisije kuuziwa mbuzi kwenye kiroba bure
 
WEWE NI AINA YA WANAWAKE AMBAO HUWA NAPENDA WAIJAZE DUNIA YETU.

SINA SHAKA ULIACHANA NA BABA MTOTO WAKO KWASABABU TU ULIAMUA KUTAFUTA UHURU WA MAISHA YAKO YENYE AMANI NA FURAHA.

SINA SHAKA KWAMBA HAKUA MTU SAHIHI KWAKO NAKWAMBA HATA YEYE MWENYEWE HAKUTOSHA MIZAN YAKO ALIPOJIPIMA.

NMEKUPENDA SABABU.
MCHA MUNGU( hata kama unweza kua umeongopa ila kitendo cha kumtaja Mungu kinatosha.)
UNAJIELEWA KWA UJUMLA LINAPOKUJA SUALA LA MAISHA .
UMEZAA LAKINI BADO UNAJIAMIN KIASI KWAMBA BADO UNAHITAJI MWANAUME ANAUEKUFAA NASIO TU KUTAFUTA MWANAUME KISA UMEZAA .

NIKUAMBIE...HUMU NDANI KUMEJAA WAPIGAJI. WATAFUTA UCHI NA WAAMBUKIZA UKIMWI WATU WENGINE..

HAWA WAKIJA UTAWATAMBUA KWA MANENO YAO ..UTASIKIA
Umezaa lkn unamashariti
Punguza masharit umeshazaa

Kwa ufupi ni MIJAUME ,MIJINGA MIJINGA, MIMALAYA, YENYE UKIMWI AMBAYO ITALAZIMISHA KUKUFANYA UJIONE "DHAIFU" ILI ULEGEZE, UWE NA HURUMA MWISHOOOOOOOO IKIPATA UCHI ISEPE.

NANYINYI MIJANAUME MIJINGA MIJINGA, MIMALAYA AMBAYO KWENU MPO KUUNGUZA WATU.
HUYU MWANAMKE MUMUACHANE, ITS BETTER KUTULIA TUUU NASIO KUMFATA NA KUZIDI KUMUHARIBIA .

MAMA TULIA. USIWE NA HOFU, UMRI BADO NAHATA UNGEKUA UMESONGA AMINI NAKUAMBIA KUNA WAKAT MUNGU ABAKUSUBIRISHA ILI AKUPE FURAHA YENYE KUDUMU NA AMBAYO ITAKUA YAKO DAIMA.

Nimependa strategy yako, unamharibia mpinzani kwa wakati huohuo unajitengenezea wewe. Haya nenda PM sasaa
 
Haya
Habari za jioni wapendwa wana jamii foramu
Naamini mu wazima
Mimi si mgeni jamii forum ni mfuatiliaji wa mada mbali mbali japo naingiaga Kama guest user, baada ya kusoma visa na mikasa mingi leo rasmi nimeamua kutengeneza akaunti kwa lengo moja tu la kutafuta mwenzi wa maisha kama second chance.

Kwa wale mlioowa na kuolewa na bado mkadumu katika ndoa Mungu awabariki na awazidishie upendo milele.
Niliolewa kabisaa lakini kuna mambo mazito hasa yalinikumba ndoa ikavunjika baada ya uwezekano wa kurekebishika ulipogonga mwamba.

Kwa muda wote niliokaa peke yangu nimetafakari kwa kina sana na kuamua kutafuta mwanaume ambaye anaweza kunipenda iili baadaye awe mume.

Sifa zangu
-Ni mdada naejituma, mcha Mungu na naejiheshimu
-Ni msomi na najiweza kiuchumi
-Umri wangu upo chini ya miaka 30
-Umri wa utoto na kurukaruka ulishapita, najielewa na najua nachokitaka.
-Nina mtoto mmoja

Sifa za mwanaume
-Awe Mkristo asiyetumia pombe
-Awe asiyependa anasa (sipo tayari kusex naye hadi hapo tutakapo weka kiapo)
-Mwenye uthubutu katika mambo ya maendeleo ( asiye amini sana masuala ya kuajiriwa zaidi sana awe na malengo ya kujiajiri mana matajiri wengi ni wale waliojiajiri)
-Mchapakazi mchapakazi mchapakazi
-Awe amekomaa kiakili, asiwe toz mvaa milegezo na ambaye bado anataka kurukaruka na vibinti
-mwenye upendo sana, kuheshimu na kujali utu.

Huyu namkaribisha tuwe marafiki wenye malengo

Sent using Jamii Forums mobile app
bhana,wasalimie sana Dodoma!
 
Chukua mke na utapewa mtoto bure na utamwita jina lolote. Huyo kamrudia Mungu baada kuona hana mume na anapitia wakati mgumu na umri unazidi kwenda. Ukishaoa baada ya miezi kadhaa anakunjua makucha yake.
Mtoto wa mwenzio upewe wewe!!
Ujinga huu ndio unatuponza wanaume.!!

Damu ya mtu huwa haipotei hivi hivi.yaani mnateka mtoto wa mwingine kisa mapenzi yenu.
Nikiwa Mimi ndio baba ntawavuruga mpaka muombe pooo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah...hali ngumu Sana... TBL wenyewe wanapita na glass za bia mitaani....wanaonjesha watu...wavutike
Asikudanganye mtu 99% ya ndoa hujengwa na tendo...ridhiko la tendo kwa pande zote....vipi Kama baada ya kiapo unamkuta na kibamia wewe una rambo....au unakutana na chatu wewe mwenyewe mdomo wa chupa ya soda...wiki tu utarudi unalialia hapa

Sent using Beretta ARX 160
 
Hivi kwanini huwa mnapenda kuwahukumu watu kwa past zao? Kwani haiwezekani kuamua kufuata njia iliyo sahihi?

Be you.
Hajahukumiwa ila kwa aliyopitia n vigumu kuaminika tena ... so inabidi awe mpole tuu ..na sio kujidanganya km kuna mwanaume atakubali kukaa naye bila sex mpaka kiapo ...sio kweli

From profile picture to proper future
 
Hapana, tunapaswa kuangalia ya sasa na yajayo. Ya kale yamepita.

Be you.
Yamepita kwake but kwa mwanaume atakaye kuwa naye hayo n mambo mapya na anapaswa kuyaangalia kwa umakini saaana ..na sio kutake risk

From profile picture to proper future
 
Habari za jioni wapendwa wana jamii foramu
Naamini mu wazima
Mimi si mgeni jamii forum ni mfuatiliaji wa mada mbali mbali japo naingiaga Kama guest user, baada ya kusoma visa na mikasa mingi leo rasmi nimeamua kutengeneza akaunti kwa lengo moja tu la kutafuta mwenzi wa maisha kama second chance.

Kwa wale mlioowa na kuolewa na bado mkadumu katika ndoa Mungu awabariki na awazidishie upendo milele.
Niliolewa kabisaa lakini kuna mambo mazito hasa yalinikumba ndoa ikavunjika baada ya uwezekano wa kurekebishika ulipogonga mwamba.

Kwa muda wote niliokaa peke yangu nimetafakari kwa kina sana na kuamua kutafuta mwanaume ambaye anaweza kunipenda iili baadaye awe mume.

Sifa zangu
-Ni mdada naejituma, mcha Mungu na naejiheshimu
-Ni msomi na najiweza kiuchumi
-Umri wangu upo chini ya miaka 30
-Umri wa utoto na kurukaruka ulishapita, najielewa na najua nachokitaka.
-Nina mtoto mmoja

Sifa za mwanaume
-Awe Mkristo asiyetumia pombe
-Awe asiyependa anasa (sipo tayari kusex naye hadi hapo tutakapo weka kiapo)
-Mwenye uthubutu katika mambo ya maendeleo ( asiye amini sana masuala ya kuajiriwa zaidi sana awe na malengo ya kujiajiri mana matajiri wengi ni wale waliojiajiri)
-Mchapakazi mchapakazi mchapakazi
-Awe amekomaa kiakili, asiwe toz mvaa milegezo na ambaye bado anataka kurukaruka na vibinti
-mwenye upendo sana, kuheshimu na kujali utu.

Huyu namkaribisha tuwe marafiki wenye malengo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume akiwa na watoto utamkubali? Kuajiriwa na kujiajiri kunaharibu nini mkate wa kila siku?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom