Recent content by thetowerofbabel

  1. thetowerofbabel

    JamiiForums Tanzania Wabongo hawana ubunifu kwenye biashara zao na maisha kwa ujumla

    Huwa nakula kwa mama Ntilie kwa Emergency ila sio kwa kupanga Ila ndo tumelelewa hivyo kuanzia mwenye biashara hadi wafanyakazi
  2. thetowerofbabel

    JamiiForums Tanzania Lissu na Magufuli sio watoto wa mjini. Hawa walikuja mjini kwa ajili ya shule

    Hivi mtoto wa mjini ndo akoje Kuwa tapeli na ujanja ujanja na usela mavi Kwa sasa Lissu ndo mtu pekee ambaye anafahamika zaidi duniani kuliko hata Tanzania Yenyewe Au ulitaka kila mtu azaliwe DAR?
  3. thetowerofbabel

    JamiiForums Tanzania Ushauri kujenga nyumba ndogo kabla ya nyumba kubwa

    Kwenye hicho kiwanja cha 610 waweza jenga nyumba standart ila ndogo ambayo inaweza cover ukuwa wa hata 150 sqm na unajenga kwenye conner ya kiwanja Then piga bajeti ya ujenzi wako then chukua mkopo wa hata miaka mitano Then kama kuna itakayo pelea jaribu kusaka kwa udi na uvumba Waweza...
  4. thetowerofbabel

    JamiiForums Tanzania Ushauri kujenga nyumba ndogo kabla ya nyumba kubwa

    Okay Pia kabla sijashauri ningependa kujua kama familia unayoishi nayo nyumba moja ni watu wangapi na umeajiriwa au vp? na kama umeajiriwa waweza pata mkopo bank?
  5. thetowerofbabel

    JamiiForums Tanzania Ushauri kujenga nyumba ndogo kabla ya nyumba kubwa

    Kiwanja chako kina square meter ngapi?
  6. thetowerofbabel

    JamiiForums Tanzania Kiwanja nilichonunua Tsh. Milioni 4 kilivyonipa zaidi ya Tsh. Milioni 20

    Yes na kama unajimudu sehemu sahihi sasa kununua Ardhi ni Kimbiliji Unanunua ardhi inayofanana na shamba na sio kiwanja kama kiwanja
  7. thetowerofbabel

    JamiiForums Tanzania Dunia inashangaa ukatili wa serikali ya Tanzania

    Wametumia 20 minutes plus kuelezea
  8. thetowerofbabel

    JamiiForums Tanzania Kiwanja nilichonunua Tsh. Milioni 4 kilivyonipa zaidi ya Tsh. Milioni 20

    Mwaka Juzi kigamboni 2024 Nilinua eneo kwa 40 M ilikuwa kama eka 4 hv Nikapima viwanja kwa gharama ya kama 10 M hivi vikatoka viwanja 30 Kwa sana naviuza jumla kwa 150 M Watu wa surveyor nimewapa mkataba hadi asas hivi washauza vya sh 110 Million miezi mitatu ijayo wanamaliza mkataba Hapo...
  9. thetowerofbabel

    JamiiForums Tanzania Wapi ulienda ukakuta ardhi bei ya kutupwa?

    Hizi ndo threads ninazo zipenda!!
  10. thetowerofbabel

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaoomba pesa kwenye mapenzi sasa hivi ndio wanaitwa TAMISEMI?

    Wewe naona unataka wanawake waishi enzi za ujima !!!
  11. thetowerofbabel

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaoomba pesa kwenye mapenzi sasa hivi ndio wanaitwa TAMISEMI?

    Ila mimi huwa nakaa chini na kufikiria Hivi mimi pamoja na kuwa mwanamme napata shida kupata hela Kwa binti ambaye hana kazi je? Muda mwingine tuwaonee huruma ni umaskini tu Kumbuka mwanamke matumizi ni mengi 1.Lotion ya ngozi anukie vizuri 2. Set za nguo za ndani , mwanamme waweza kuwa na...
  12. thetowerofbabel

    JamiiForums Tanzania Huyu Johnthebaptist Yuko Wapi?

    Mtafutieni VPN ataonekana tuu..
  13. thetowerofbabel

    JamiiForums Tanzania Samia kutoswa na Kundi ambalo halikuhusika na Mauaji Wala Utekaji, ila Lina Mali na Fedha zake US na Ulaya .. Tayari Hawaruhusiwi Kuhamisha Fedha zao.

    Kitu amabacho watu hawajui na wanadhani Marekani inatania na vikwazo Marekani inataka Tanzania iwe stable siku zote 1. Ki joglafia in ukanda wa wa Bahari yenye urefu wa km 800 , inapakana na nchi nyingi Kama unavyojua na ipo strategic na ki maslahi na usalama wa Marekani Afrika Mashariki...
  14. thetowerofbabel

    JamiiForums Tanzania Miguno, vilio, sauti za mahaba vinapotea taratibu

    Yule dada wa kigoma miaka hiyo mungu amlinde.....😂😂😂😂
  15. thetowerofbabel

    JamiiForums Tanzania Wasaliti waendelea kulia na kusaga meno, sasa ni zamu ya Asenga

    Hivi Mchungaji Msigwa bado yupo ALIVE?
Back
Top Bottom