Recent content by Therealfazah

  1. Therealfazah

    JamiiForums Tanzania Ukiandika mali zako kwa jina la mama yako, hizo ni mali zake. Anaweza kuziuza, akifariki ni mali za urithi za watoto wote

    Ao ndugu kwanini nao wa demand mali za mama angu Kivyovyote vile, mali zangu zitasoma jina la bimkubwa. Hapa sishauriki aseeh
  2. Therealfazah

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Msingi Safi, Wanafunzi wanaingia darasani Saa 12 Asubuhi wanatoka Saa 1 Usiku

    Kwaiyo mtoto wa darasa la nne kuwa na cm kwenye begi lake ni tabia mbaya?
  3. Therealfazah

    JamiiForums Tanzania Ni diss track ipi kali ya muda wote Bongo?

    Kile kiumbe hapana asee 🔥😂
  4. Therealfazah

    JamiiForums Tanzania Ni diss track ipi kali ya muda wote Bongo?

    Mnatuza culture gani? Au ni ya kusuka rasta?
  5. Therealfazah

    JamiiForums Tanzania Ni diss track ipi kali ya muda wote Bongo?

    Unagusa busha wazee, unakuja bila tarehe, utakufa kabla ya barehe, unajicontradict Sana, unanitukana wakati unajitukana, unamtukana dada angu ambae ni dada ako pia nawe Una dada pia anapakatwa na anasaura tunaemjua adi jina anaitwa paula,😂😂😂, sidhan kama patakuja kutokea nondo kama izo
  6. Therealfazah

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufanya biashara ikakushinda? Kwa nini? Tupe story tujifunze

    Hahaha 😂, duuuh!!! Noma iyo
  7. Therealfazah

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufanya biashara ikakushinda? Kwa nini? Tupe story tujifunze

    Duuuh pole Sana broo, kwaiy ulishindwa kubalance unachoingiza na unachotoa inshort, asante nimenoti hii
  8. Therealfazah

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufanya biashara ikakushinda? Kwa nini? Tupe story tujifunze

    Hujaombwa ushauri broo, elewa mada mdau
  9. Therealfazah

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ufafanuzi wa Serikali Kuhusu Kura ya Kamati za Bunge la Ulaya (EU) Dhidi ya Tanzania

    Wanaficha ili tusione wakati tayari tushajua, utata uja tunapoaza kuwachunguza Fid q (propaganda).
  10. Therealfazah

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kula vyakula vilevile kila siku

    Pata mchemsho wa kongosho Tu apo n maji mengi
  11. Therealfazah

    JamiiForums Tanzania Kati ya samaki wa maji chumvi/bahari na maji baridi unapenda yupi?

    Samaki ni samaki Tu, yani kama samaki samaki tu
  12. Therealfazah

    JamiiForums Tanzania Kati ya samaki wa maji chumvi/bahari na maji baridi unapenda yupi?

    We unapenda nini?
Back
Top Bottom