Recent content by therapist

  1. T

    Askofu Mkuu KKKT: Hakuna kiumbe/kiongozi yeyote atakayeweza kulitikisa Kanisa,hajazaliwa na hatozaliwa

    ingemkuta mbabe wa wambabe wa wote mzee wa kubadilisha dhahabu kuwa maji.
  2. T

    Ni dawa ipi ya upele kichwani?

    Msaaada matibabu ya hii kitu DR...
  3. T

    Mgahawa unaoruhusu kula ukiwa uchi wafunguliwa London

    End of the world on progressive
  4. T

    Siku hizi ukiomba pesa unajibiwa "njoo uchukue"

    Tumesha ambiwa Kila kitu tudai risiti,sasa hawa mabwana mdogo hawana risiti kama benki bora ukaja chukua tu
  5. T

    Tetesi Kwa Walimu Kuongezwa Mishahara

    hakuna mshahara unao ongezwa mwez wa 9.nyongeza zote za watumish wa serikal huwa mwanzoni mwa mwaka yaan mwez wa 7.
  6. T

    Tulionao tumekosea, michepuko ndio chaguo halisi

    subir siku ukifumaniwa ndo utajua ladha halisi ya mchepuko
  7. T

    Nauza gari, bei milioni 2 (nzima waweza kuja na fundi wako)

    weka picha? engine ya aina gan? mbaka sasa lina kilometer ngap?auto or manual?
  8. T

    Kuendesha gari zinazotoka bandarini kwenda nchi jirani "IT"

    magar yote yanapelekwa ktk ICDV yaani bandar kavu chamsingi uwajue maagent coz wao ndo wanausika na kupeleka magar ya wateja wao nje yanchi.pita falion,chikasa,hesu,tall.diesel utapata utaratibu kutoka kwa agenties
  9. T

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo Mara[bunda] Nije mbeya, iringa au songea .idara sec
  10. T

    Tatizo la iCloud kwenye iPhone 4s, naomba msaada

    Solution ya hiyo haipo kabisaaaaa usidanganywe tena kama imewekwa ktk black list ndo issue,wachina wanachofanya huchonga sacet mpya ambayo ni mbadala wake.
  11. T

    Amini usiamini: Mwanamke ana umuhimu

    ikiwa hivi mkuu ingependeza zaidi samahani kwa editing. Behind every strong success there is a bright woman, and behind every failure there is a kilaza woman. ukitaka kufanikiwa jambo lolote mtumie mwanamke mwenye akili, ukitaka kufeli jambo lolote mtumie mwanamke kilaza lazima utaanguka tuuu...
  12. T

    Wanaume mliolost kinacho sababisha mchapiwe wake zenu sio uchumi mbaya ni attitude zenu za kupanic

    100%,Now you have grown up enough.uwe unaleta vitu vinavyo make sense kama uziii huuuu we inhere tutakpenda tu.:poa
  13. T

    Umri umefika, nahitaji mume mcha mungu

    still too young my dear 24!!!! unafoundation yoyote ya maisha? unakimbilia wapi? kuna dada zako wapo 30's wanakaribia menopause hao ndio wanatakiwa kuumiza kichwa, umri saahihi kwa wewe ukifika 26,27... we will support you promise
Back
Top Bottom