Umri umefika, nahitaji mume mcha mungu

Umri umefika, nahitaji mume mcha mungu

Jamani hii ni mara yangu ya kwanza kuanzisha thread humu, nina umri wa miaka 24. Elimu yangu ni degree ya kwanza kwasasa nimeajiriwa kwenye kampuni moja hapa jijini mwanza, dini yangu ni rc. Ni mrefu wa wastani, rangi maji ya kunde pia sina mtoto wala cjawahi kuolewa. Kwa umri huu najitokeza kutafuta mume kigezo kikubwa awe na hofu ya mungu, awe ameajiriwa au kujiajiri. Sichagui dini wala kabila. Waishio maeneo ya kanda ya ziwa hasa Mwanza watapewa kipaumbele. Matusi na kejeri sitaki tafadhali, kama hauna hoja pita kimya kimya tu! Thanx

ungekua unakubali kuja huku nlikoajiriwa mie ningekubali,, tena ungepata na kazi hukuhuku
 
Mimi nakutaka ila pesa sina na elimu sina digree ila namuogipa mungu sijawahi kuzini vipi na wewe hujawahi kua na kibustani lakini Mimi so MTU wa kanda ya Ziwa natikea visiwa vya wapenanao
 
Jamani hii ni mara yangu ya kwanza kuanzisha thread humu, nina umri wa miaka 24. Elimu yangu ni degree ya kwanza kwasasa nimeajiriwa kwenye kampuni moja hapa jijini mwanza, dini yangu ni rc. Ni mrefu wa wastani, rangi maji ya kunde pia sina mtoto wala cjawahi kuolewa. Kwa umri huu najitokeza kutafuta mume kigezo kikubwa awe na hofu ya mungu, awe ameajiriwa au kujiajiri. Sichagui dini wala kabila. Waishio maeneo ya kanda ya ziwa hasa Mwanza watapewa kipaumbele. Matusi na kejeri sitaki tafadhali, kama hauna hoja pita kimya kimya tu! Thanx

Mimi nipo TAYARI.Elimu yangu ni kidato cha nne(4)nimeajirikiwa,makazi yangu nipo Bariadi,Simiyu
 
still too young my dear 24!!!! unafoundation yoyote ya maisha? unakimbilia wapi? kuna dada zako wapo 30's wanakaribia menopause hao ndio wanatakiwa kuumiza kichwa, umri saahihi kwa wewe ukifika 26,27... we will support you promise
 
usijali, ipo siku utampata alieumbwa kwa ajili yako
 
Biashara matangazo, tupe sababu ya kwann tusiwafuate tunaonana nao ana kwa ana tukufuate wewe wa maandishi.
 
Wanaume wa ukweli wapoooooo sema nyinyi mnautayari wa tamaa sio nafisi ndo maana wengi kwenye ndoa wamevumunda
 
Mmeshakula ujana mmetumika huko mkiona umri unakimbia ndio mnaanza kudai mume mcha Mungu,wakati mmeshatika huko.dadeki!..
 
Jamani hii ni mara yangu ya kwanza kuanzisha thread humu, nina umri wa miaka 24. Elimu yangu ni degree ya kwanza kwasasa nimeajiriwa kwenye kampuni moja hapa jijini mwanza, dini yangu ni rc. Ni mrefu wa wastani, rangi maji ya kunde pia sina mtoto wala cjawahi kuolewa. Kwa umri huu najitokeza kutafuta mume kigezo kikubwa awe na hofu ya mungu, awe ameajiriwa au kujiajiri. Sichagui dini wala kabila. Waishio maeneo ya kanda ya ziwa hasa Mwanza watapewa kipaumbele. Matusi na kejeri sitaki tafadhali, kama hauna hoja pita kimya kimya tu! Thanx
Mkuu ungeturahishia na kapicha tukuthaminishe isije ikawa wewe ni bibi bomba!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom