Tulionao tumekosea, michepuko ndio chaguo halisi

Tulionao tumekosea, michepuko ndio chaguo halisi

Viol mkuu umekuwa adim mnooo...

Umenikoshaa mkuu kuhusu mchepuko, yani ile michepuko ambayo ni benefitable....

Mchepuko upo tayari kifanya cost sharing...

Mchepuko ambao ukiuambia upo hom na wife unakuelewaaa....usipige simu

Mchepuko ambao ukifulia unakutoa...

Mchepuko ambao unajari afya yenu unakukumbusha kutumia kinga..

Mchepuko ambao haukupi stress yani hata msipo wasiliana two days kwake ni okey....

Mchepuko ambao haukusumbui mara utanioa lini?

Mungu aibariki michepuko ya aina hiii...

innalillahi wainna illayhi rajiu'uun
 
Last edited by a moderator:
, kwani mkeo huyo unaemlinganisha na mchepuko na unaona mchepuko ndio bora mwanzo wa mapenzi ilikuaje? Hayakuwa mashamsham?na ukawa unamuona yeye ndo yeye?hakuna kama yeye
hata huo mchepuko ukiufanya mke will be the same utauona sio wa maana tena
jifunze kumheshimu mkeo usimdharau kiasi cha kumlinganisha na mchepuko na kama unaona mchepuko ni bora
basi uamishie ndani....
nb: kama hujaoa umeamua kuchangamsha sio sawa kwa hiki ulichoandika
uwe na siku njema
Nimekupenda bure....Comment zako zote hii ni miongoni comment 10 bora ambazo nilizi note kutoka kwako...in shot huwa unatoa ushauri mzuri.
 
Kuna kiukweli kidogo hapo ila nahisi angalia kwa nini unachepuka isiwe huumii mchepuko akikwambia yuko na mumewe lakini ukijua si mume uvumilivu utakushinda
 
hata huo mchepuko ukiuweka ndani bado utafika mahali uuchoke iko hivyo yani ndo asili.
 
Baby Evelyn Salt mbona una maswali ya utata wewe

Hapana nlitaka tu kujua utofauti wa chaguo na bahati mbaya
eti kama mwanamke wako alikuaga ni mchepuko wako tu, baadae mapenzi kunoga ukatangaza nia ukaweka ndani
anakua chaguo au ni bahati mbaya?
 
...nilikua naskia tu hadithi za michepuko dar..lakini hakika sasa naamini kuwa wake za watu wanatiwa sana mjini dar...hii imenitokea..pale ambapo mke wa mtu ametokea kunipenda balaa..tumejuana kwa mtandao(linkedin)....yeye akiwa mkoani ..lakini sasa ananifata hadi dar ili nimpige para....yaani anapanga kabisa safari anakuja dar nimtie...na nimempiga bao la kufa mtu...na sasa anataka kunizoea...nimeamua kukaa kando asije kuniletea balaa...yani siamini kama wake za watu wamekua cheap kiasi hiki....tena mara nyingine anakuja na pete ya ndoa kabisa...ananipa mambo balaa....mara ya mwisho alitaka kutoa hadi mku.ndu...sasa huyu mke gani....wanawake badilikeni aisee...
 
Mwisho wa maisha haya ni upi? mbna tutachomwa moto siku ya mwsho.. Mke ulimuoa kwa mapenz yote mbele ya umat wa wa watu km mashaihid leo mchepuko unaona ndio wenye dhaman zaid ya yule ulienae ndan?!! ama kwel cjui tutafika wap
 
...nilikua naskia tu hadithi za michepuko dar..lakini hakika sasa naamini kuwa wake za watu wanatiwa sana mjini dar...hii imenitokea..pale ambapo mke wa mtu ametokea kunipenda balaa..tumejuana kwa mtandao(linkedin)....yeye akiwa mkoani ..lakini sasa ananifata hadi dar ili nimpige para....yaani anapanga kabisa safari anakuja dar nimtie...na nimempiga bao la kufa mtu...na sasa anataka kunizoea...nimeamua kukaa kando asije kuniletea balaa...yani siamini kama wake za watu wamekua cheap kiasi hiki....tena mara nyingine anakuja na pete ya ndoa kabisa...ananipa mambo balaa....mara ya mwisho alitaka kutoa hadi mku.ndu...sasa huyu mke gani....wanawake badilikeni aisee...

acha uchuro wewe kutembea na mke wa mtu wajiona huna makosa ila yeye ndo ana makosa kweli tutafika kama wew ni mwema na hupendi hiyi tabia alivyokuja mara ya kwanza ungeripoti police arudishwe kwa mmewe tuone magazetini
 
...nani anakataa K wewe....unless kama si rijali...
 
Michepuko imekua msaada kwa wanaume wengi mana kule kuna mapenzi kupeti peti mahaba,mahabani na kuna high care ingawa ni illegal michepuko haitakaa iishe
 
Back
Top Bottom