Amini usiamini: Mwanamke ana umuhimu

Amini usiamini: Mwanamke ana umuhimu

Siku zote ulikuwa hulijui hilo kuwa mwanamke ni muhimu maishani?
 
WanaJF labda nianze na usemi wa kizungu: Behind every success there is a woman, and behind every failure there is a woman.
Ni kwamba ukitaka kufanikiwa katika jambo lolote mtumie mwanamke, pia wapinzani wako wakimtumia mwanamke katika jambo lolote la kukuangusha lazima utaanguka.
Kwa kifupi kwangu usemi huu umetimia. Wewe ambaye labda bado unaona nyota nyota: ndo maana nasema amini usiamini mwanamke ni muhimu. Hutaki???
Unawaongeleaje Maskofu na Makadinali pamoja na Pope hawana wake vipi wao?
 
.....ni kweli kabisa sisi wanawake ni watu muhimu sana, ndio maana hata Mungu alipomuumba mwanaume Adam.....akaona Adam hawezi ishi bila ya mwanamke. Familia bora ili isimame lazima mama awepo.
 
Unawaongeleaje Maskofu na Makadinali pamoja na Pope hawana wake vipi wao?

......hao asilimia nyingi lazima awe na mwanamke pembeni, wenyewe wanaita vimada.
 
kwan nani kasema hana umuhim?...Alaf mbona ilo lipo waz toka kuumbwa kwa bnadam..
 
Na pia ni mtu mmoja mbaya sana akiamua kuwa ivyo,anakua hatari sana
 
ikiwa hivi mkuu ingependeza zaidi samahani kwa editing.
Behind every strong success there is a bright woman, and behind every failure there is a kilaza woman.
ukitaka kufanikiwa jambo lolote mtumie mwanamke mwenye akili, ukitaka kufeli jambo lolote mtumie mwanamke kilaza lazima utaanguka tuuu. phuuuuuuuuuh
 
Kweli kabisa mwanamke ana nafac kubwa sana ktk maendeleo au failure ya mwanaume. Hii inaweza isiwe moja kwa moja lkn kwa asilimia kubwa maendeleo ya mwanaume yanahitaji uwepo wa mke mwenye kujitambua. Tukiangalia hata ktk familia zetu kijana anapooa mara nyingi mke anaweza akaiunganisha familia au kuisambaratisha , tumeyaona haya yakitokea sehemu nyingi.
 
Hii kauli ina ukweli mkubwa sana, hata mimi ninaiamini.Mwanamke anaweza akatumiwa kusambaratisha au kuvuruga hali ya mambo vilevile anaweza akawa kiungo kikubwa sana katika maendeleo ya mwanaume na jamii kwa ujumla.
 
Unawaongeleaje Maskofu na Makadinali pamoja na Pope hawana wake vipi wao?
Hiyo topiki mpya au? Wanaingiaje hapa Maaskofu, Makardinali na Pope? Kwanini usianzishe uzi wako kwaajili ya hao ukitaka?
Je, kwa mfano tukitaka tuzungumzie suala la wake wanne upo tayari Ritz, ambayo naamini dini yako tu ya kiislamu inahalalisha upo tayari tuijadili? Au umekosa cha kuchangia ukaona uandike chochote? Kwanini usiende fb kwa hilo?
 
ikiwa hivi mkuu ingependeza zaidi samahani kwa editing.
Behind every strong success there is a bright woman, and behind every failure there is a kilaza woman.
ukitaka kufanikiwa jambo lolote mtumie mwanamke mwenye akili, ukitaka kufeli jambo lolote mtumie mwanamke kilaza lazima utaanguka tuuu. phuuuuuuuuuh
Ndugu yangu nakubaliana na wewe kwa strong woman, ila kilaza woman sikubaliani nawe, kwani kilaza woman, kama yupo huwezi fanya naye mpango wowote, kwahi hiyo hatakuwa athari kwako. Ila ufahamu mwanamke awe kilaza kiasi gani atakulelea watoto TAIFA LA KESHO. Chezee wanawake uone. Wanaume ndo basi, tuna sehemu yetu lakini...
 
IKwanza kabisa nakubaliana na mleta mada kwamba mwanamke ni muhimu sana kwetu sisi wanaume kama msaidizi,mlezi,mlinzi na mshauri na hii inafanya awe muhimu sana kwetu.Lakini upande wa pili mwanamke anaweza kuwa chanzo kikubwa sana cha kurudi nyuma kimaendeleo kama mwanaume hatapata mwanamke sahihi.Watu wamefilisiwa na wanawake,wameumizwa mioyo na kuchanganyikiwa kwa sababu ya hawa hawa wanawake cha msingi kwa sisi wanaume ni kumwomba sana MUNGU na kuwa makini sana na hawa wanawake.
Hebu fikiria una mwanamke ambaye yupo kwako kwa ajili ya kukuchuna na kuchota utajiri wako wengine wanakuroga kabisa uwe poyoyo na matokeo yake unarudi nyuma.
Tunawapenda sana na hasa pale mnapokua wema na msaada kwetu lakini mkiwa kinyume na hivyo basi umuhimu wenu kwetu unapotea.
 
Hiyo topiki mpya au? Wanaingiaje hapa Maaskofu, Makardinali na Pope? Kwanini usianzishe uzi wako kwaajili ya hao ukitaka?
Je, kwa mfano tukitaka tuzungumzie suala la wake wanne upo tayari Ritz, ambayo naamini dini yako tu ya kiislamu inahalalisha upo tayari tuijadili? Au umekosa cha kuchangia ukaona uandike chochote? Kwanini usiende fb kwa hilo?
Mkuu wasamehe bure ujue kuna watu hupenda kuvuruga mada za wenzao na si busara kufanya hivyo . Huingiza chuki zao binafsi kila waonapo mwanya wa kufanya hivyo.
 
IKwanza kabisa nakubaliana na mleta mada kwamba mwanamke ni muhimu sana kwetu sisi wanaume kama msaidizi,mlezi,mlinzi na mshauri na hii inafanya awe muhimu sana kwetu.Lakini upande wa pili mwanamke anaweza kuwa chanzo kikubwa sana cha kurudi nyuma kimaendeleo kama mwanaume hatapata mwanamke sahihi.Watu wamefilisiwa na wanawake,wameumizwa mioyo na kuchanganyikiwa kwa sababu ya hawa hawa wanawake cha msingi kwa sisi wanaume ni kumwomba sana MUNGU na kuwa makini sana na hawa wanawake.
Hebu fikiria una mwanamke ambaye yupo kwako kwa ajili ya kukuchuna na kuchota utajiri wako wengine wanakuroga kabisa uwe poyoyo na matokeo yake unarudi nyuma.
Tunawapenda sana na hasa pale mnapokua wema na msaada kwetu lakini mkiwa kinyume na hivyo basi umuhimu wenu kwetu unapotea.
Mkuu hiki ulichosema ni ukweli usiopinginga kabisa sema tatizo kubwa linakuja kwenu ninyi wanaume baadhi yenu huwa hamzingatii mambo muhimu wakati wa kutafuta mwenza. Kijana kabla ya kuingia kwenye maisha ya ndoa anapaswa kuwa makini mno ktk eneo hili la kutafuta mwenza anaefaa.

Wapo wanaume kabla ya kuoa walikua smart kweli kweli lkn mara baada ya kuoa hawatazamiki , wengine wametelekeza hadi jukumu lao la kutunza wazazi. Hebu ona hata humu mtu anakuambia mwanaume anaefaa ni yule aliyefiwa na mamake sasa unafikiri type hii ya mwanamke ukiiweka ndani si lazima akuvuruge.
 
Kweli kabisa mwanamke ana nafac kubwa sana ktk maendeleo au failure ya mwanaume. Hii inaweza isiwe moja kwa moja lkn kwa asilimia kubwa maendeleo ya mwanaume yanahitaji uwepo wa mke mwenye kujitambua. Tukiangalia hata ktk familia zetu kijana anapooa mara nyingi mke anaweza akaiunganisha familia au kuisambaratisha , tumeyaona haya yakitokea sehemu nyingi.

Hiyo topiki mpya au? Wanaingiaje hapa Maaskofu, Makardinali na Pope? Kwanini usianzishe uzi wako kwaajili ya hao ukitaka?
Je, kwa mfano tukitaka tuzungumzie suala la wake wanne upo tayari Ritz, ambayo naamini dini yako tu ya kiislamu inahalalisha upo tayari tuijadili? Au umekosa cha kuchangia ukaona uandike chochote? Kwanini usiende fb kwa hilo?

Mkuu hayo yaliyoelezwa jf kuhusu mwanamke kiukweli wamambo wamelenga haswa kwa mtazamo wa kawaida nyumba yenye mwanamke anayejiamini inaonekana eti na yenye mwanamke poyoyo pia inaonekana. Sasa basi la maana hawa akina baba wangekuwa makini kuwajali wake zao na kuwaheshimu ili na hao akina mama waelewe mchango wao katika maisha unatambuliwa ni hayo tuu jamani kina babaaa
 
Back
Top Bottom