Recent content by thephilanthropist

  1. thephilanthropist

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia kwa macho yangu Denzel Washinton akizeeka

    Kuna Glory, John Q na Remember the Titans zote ni Kali.
  2. thephilanthropist

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya magari ya China yazidi kupata soko la Afrika, sasa yamefika soko la Tanzania

    BYD , Haval na Cherry nimeyakuta sana Russia Wana soko kubwa huko kwa Sasa.
  3. thephilanthropist

    JamiiForums Tanzania Hivi Holland na Netherland kwanini zote kwa kiswahili zinaitwa Uholanzi?

    Unakua Holland no sehemu tu katika nchi ya Netherland, ila ndio sehemu maarufu zaidi na eneo lenye Utajiri , Majiji kama Ya Rotterdam na Amsterdam yote yapo ktk eneo Hilo , jambo Hilo limepelekea watu wengi kuona kwamba Holland ndio Netherland. Ndio mpaka waswahili yote wakaipa jina Moja.
  4. thephilanthropist

    JamiiForums Tanzania Watawala wanawezaje Kuidharau sauti ya Watanzania zaidi ya Million 65 kwa Askari 90,000 pekee !?

    Tatizo lenu mnaassume kuwa ajenda zenu za watu Elf 30 wa mtandaoni , mnaona ni ajenda ya Watanzania wote .Kuna wananchi wengi sana wakawaida hawajui lolote kuhusu izo ajenda zenu , nashangaa mnawainclude wote.
  5. thephilanthropist

    JamiiForums Tanzania Waislamu kuweni wavumilivu

    Wewe jamaa unajiona una hoja sana , eti utumie kitabu cha mkweli mwaminifu kuukosoa uislamu. U cant be seriuos.
  6. thephilanthropist

    JamiiForums Tanzania Waislamu kuweni wavumilivu

    Labda ukiristo Uislamu umeingia Mwambao wa Africa mashariki kabla ya kuja mreno . Vasco Da Gama alipofika Kilwa aliluta watu ni waislamu tena wenye maendeleo makubwa ktk Biashara.
  7. thephilanthropist

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kusoma kitabu kipi kizuri hadi hivi ukikikuta unatamani ukinunue?

    Yani unaona ndo mtu umembeza kumuita mfia Dini , mimi ukiniita ilo jina naona kama umenipandisha daraja kubwa sana.
  8. thephilanthropist

    JamiiForums Tanzania Vanguard na BlackRock: Utajiri usioonekana na nguvu kuu ya Kiuchumi Duniani

    Endelea kushusha nondo nyengine kama hizi , nimechoka kuskia habari za siasa .
  9. thephilanthropist

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaotaka kuoa Zanzibar, Samaki hageuzwi

    Hizi ni stori za kusadikika , ni zike hekaya za vijiwe vya kahawa .Mimi nimezaliwa Pemba na bado naishi Pemba niliwahi kuskia kua izo stori zipo kisiwa kimoja kinaitwa Kojani , wanasema kua ukitaka kuoa wanakupa Samaki ule tu vile vile mpaka ummalize bila kumgeuza , wanasema ukimgeuza ni kua...
  10. thephilanthropist

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM inaacha upande mmoja wa Muungano kujitenga zaidi?

    Mimi nipo Pemba jana kaja wamekuja dukani kwangu watu wa TRA na ninatakiwa kulipa kodi , hii inamaanisha kwamba mfanyabiashara wa Zbar anakatwa kodi mara 2 , ZRA na TRA . Nilikua nakukumbusha tu na hili uliandike.
  11. thephilanthropist

    JamiiForums Tanzania Anime

    Fanya yako binti , bora niangalie katuni kuliko Kufatilia Habari za Mwijaku na Babalevo.
  12. thephilanthropist

    JamiiForums Tanzania Video: Nashindwa kuelewa. Tabia hii kwenye vivuko vya Tanzania na kwenye Mapantoni husababishwa na nini?

    Kuna Meli iliwahi kuzama bandarini Zanzibar watu walikufa , sasa ww umeshafika safari unasubiri nini?
  13. thephilanthropist

    JamiiForums Tanzania Kutajengwa Hospital kubwa mpya za kisasa

    Safi sana .
  14. thephilanthropist

    JamiiForums Tanzania Dawa ya ukimwi; Njia za kutengeneza dawa ya ukimwi huu ni mtizamo wangu

    Tatizo ni kwamba Tanzania hawaruhusu mgombea wa Kujitegemea ambae hana chama. Una mkakati gani ktk hili.
Back
Top Bottom