Wakuu husikeni na mada tajwa hapo juu. Mimi shida yangu natafuta dereva wa gari, lori anayeenda hayo masafa nina kamzigo kangu.
Charges tutaelewana tukishakutana PM.
Pia kama wamjua mmoja asiyekuwepo humu JF unaweza kunirecommend utakuwa umenisaidia sana.
Natanguliza shukrani.
Uhamiaji wakati wanazindua hati mpya walisema mwisho wa matumizi ya hati za zamani ni 2020 January. Walieleweka vizuri saana. Sasa wasiwasi wangu kuna Watanzania wanaoishi nje ya nchi bado wanatumia hati za zamani na hazijaisha. Unakuta ilibadilisha mwaka jana mwanzoni na inaisha miaka mitano...
Umekimbilia JF kujisifu usikute mkeo naye kakimbilia group la mashoga zake.
Ka-comment.
Mmmh mwenzenu leo tia maji langu sijui limeninyea viagra. Ngoja kesho nione kama ataweza kurudia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.