Kendrick Lamar is overrated

Well,kama kama heading inavyojieleza..nadhani SI mimi peke yangu anaedhani kua Kendrick Lamar ha deserve hype anayopata,..jamaa WA kawaida Sana..TENA SANA..for the first time namskiza jamaa nilikua high school mwaka 2011..kwenye ngoma ya Look Out For Detox.. Shit was real..alichana Sana..flow on point,lyrics..beat..wala hakua anapiga kelele kama sasa..now nashangaa watu wanamsifia Sana but kiukweli sijawahi kukoshwa na K Dot...hayupo hata kwenye list ya rappers wangu watano..My Top FIVE IS

1: J Cole

2:Drake

3:Big Sean

4:A$ap rocky

5: Pusha T
Na wewe unamilik rappers?? Hongera
 
D.N.A

HUMBLE

ELEMENT

you can't be serious
Sina maana ya Single nilikua nataka kusema in his debut album good kid, maad city.. K dot alikua mkali sana..kuhusu lyrics juzi nimemskia Pusha T kwenye interview na XXL anasema lyricm in rap music is not important sasa hivi..pia kaka lazima ujue mziki wa rap huwa unabadilika kwa kila kizazi either ni Beats Of Bars..au Bars Over beats...now ni Beats over Bars..
 
52e2f39b99c47813592c8fc61d532c5a.jpg

a4b60b7b64bd72884de2bf7101219bf3.jpg

Acha wabadilike ye akaze wallah atawakimbiza mpaka basi...
 
Sina maana ya Single nilikua nataka kusema in his debut album good kid, maad city.. K dot alikua mkali sana..kuhusu lyrics juzi nimemskia Pusha T kwenye interview na XXL anasema lyricm in rap music is not important sasa hivi..pia kaka lazima ujue mziki wa rap huwa unabadilika kwa kila kizazi either ni Beats Of Bars..au Bars Over beats...now ni Beats over Bars..
Unaweza kuwa sahihi kwasababu hata mashairi yanabadilika.

Tulikuwa na classical era, romanticism, modernism sasa.

Ila naamini misingi ya music ni ile ile.. ni kama utawala alipita christopher columbus akapita Obama ila misingi ya kiungozi na kumbukumbu za waliofanya vizuri kwa kipindi chao zipo bila kujali sijui aliongozaje.
 
Kaka umegusa point ya maana sana..kabla ya LL cool J hajatoa nyimbo yake I need love,,rappers walikua harsh sana kwa wanawake..cool j ndio kafungua njia ya Rap za Mapenzi.."lavie dovey"..wakina Gucci Gang wanaboa sana but ndio wakati wao..kama ilivyo kua singeli mwaka 2015
 
J Cole namuelewa sana kuanzia Friday night lights, Cole World the sideline story, Born sinner, 2014 Forest hill drive (best album yng toka kwake) hadi 4 Your Eyez Only hajawahi niangusha huyu ndo best rapper na namba one hip hop favorite artist wng mwezi ujao anatimba Nigeria ningekuwa namavumba ningeenda kumuona. Huyu jamaa hapendi kucheza na media wala mitandao km Drake au Kendrick yeye akija kwny media kaja kuachia kazi basi halafu anapotea mauzo yanaongea bila kiki

Drake mara ya mwisho kumfeel ilikuwa kwny album ya nothing was the same yaan ukickiliza iyo album na ukirudi kusikiliza Take Care uwezi kupeleka nyimbo mbele tofauti na izo more life, views zpo so local , if you're reading this It's too late sijawahi isikiliza ila izo zingine ninazo. Huyu jamaa anabebwa sn na media ila sio mkali sn kingine nimesoma hana tabia ya kuwatumia wasanii wa afrika kwa faida zke mwenywe reference kwa wiz kid.

Kendrick yupo vizuri uwezi mlinganisha na Drake ni bora umuweke kundi moja na J Cole.
Kendrick wa sasa sio km wa zamani uliokuwa unamsikiliza kwny mixtape zke km C4 kule jamaa alikuwa anakaza yaan anarap ile hadi misuli inatoka kichwani album zke nilizosikiliza ni Good kid maad city hadi leo hii album bado naisikikiza, Too Pimp a butterfly hii album imekaa kigumu gumu ukickiliza juu juu huwezi kuielewa na hii ya mwaka jana Damn ipo vizuri sana kila rika inaweza kuickiliza na kuielewa.

Top 5 yng
1.J Cole.
2.Kendrick
3 .Eminem
4.Jay Z
5.Kanye West
BOB na Macklemore pia naupendaga kuwasikiliza
 
Hahahaaaa Huyo number 5 mi ndo number one fan wake. Namuelewa kila anachofanya ni addicted Mzee Kanye bhana.
 
707b74488e6048624b8f63f16b627ffa.jpg

THE DAMN.. IMEIBEBA HIPHOP KWENYE LIST
 
Back
Top Bottom