Thelonious
JF-Expert Member
- Dec 11, 2017
- 216
- 452
Uhamiaji wakati wanazindua hati mpya walisema mwisho wa matumizi ya hati za zamani ni 2020 January. Walieleweka vizuri saana. Sasa wasiwasi wangu kuna Watanzania wanaoishi nje ya nchi bado wanatumia hati za zamani na hazijaisha. Unakuta ilibadilisha mwaka jana mwanzoni na inaisha miaka mitano ijayo.
Hawa nahakika wengi hawana vitambulisho vya taifa. Na tunajua tulivyohangaika kuvipata unasubiri miezi 3. Sasa hawa watu wakishafika nchini watazuiwa hadi wapate hati mpya? Au mwisho wa matumizi maana yake nini?